Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

Hello.

Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.

Au ndo masharti ya mganga wao.

Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Diamond hakualikwa kwenye huo msiba!!!
 
Hello.

Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.

Au ndo masharti ya mganga wao.

Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Ni kwa sababu hakupata mualiko😂😂😂😂
 
Lady JayDee alikuwepo, maana yeye ndio alimuimba nyimbo za kumsimanga mpaka kafa.
 
naona walimtuma mama dangote kuwakilisha.

sema jamaa kuna mda nao wana mashauzi sana, kama ni swala la ustaa, basi wangetuma hata managers wao walete salamu kwa niaba yao, angalau kuonesha kushirikiana na wengine kwenye majonzi na furaha, sio kujiona superbrand, hutak kuonekana public burebure, na sisi wote ni wa tz na matukio kama haya ndio huonesha thaman zetu kwa jamii.
Mama kufika nayo haitoshi? Anyway mambo yenu wasanii mnayajua zaidi ila kwa kawaida mtu akiwakilishwa na mama mzazi naona ina uzito kwa wafiwa kuliko meneja wake.
 
Hello.

Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.

Au ndo masharti ya mganga wao.

Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Anajichukulia mnavyomuweka.
 
Diamond ni Super-brand hapa nchini, brand iliyotengenezwa kwa gharama kubwa na isiyofananishwa na yeyote yule, hivyo, hapaswi kwenda kwenye matukio hovyohovyo. Yeye kila appearance yake ni anaingiza hela, Je, akienda pale msibani watamlipa?
Hii dunia tunapita..!
 
Bongo tunaishi kwa woga sana ..Bongo Unafanya Kitu ili mtu a-appreciate..Bongo tunasema nipe nikupe ...So What's the point? Kwani hap waliofika ndio wenye mapenzi ndakindaki??...tuacheni hizi nadharia za ajabu aiseee
 
Diamond ni Super-brand hapa nchini, brand iliyotengenezwa kwa gharama kubwa na isiyofananishwa na yeyote yule, hivyo, hapaswi kwenda kwenye matukio hovyohovyo. Yeye kila appearance yake ni anaingiza hela, Je, akienda pale msibani watamlipa?
Shida ya wabongo uswahili mwingi
 
Jibu ni kwamba raia n awasanii na waandishi wangeacha msiba wakaanza kumtolea macho Mondi na utaratibu msibani ungevurugika Bora alivyotulia nyumbani
 
Back
Top Bottom