Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
852
1,893
Hello.

Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.

Au ndo masharti ya mganga wao.

Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
 
Akianza kuwa karibu nao mtakuja na uzi unaouliza kwanini Diamond anashinda kutwa kwa marafiki zake?.

Binadamu nongwa haziwaishi.
 
naona walimtuma mama dangote kuwakilisha.

sema jamaa kuna mda nao wana mashauzi sana, kama ni swala la ustaa, basi wangetuma hata managers wao walete salamu kwa niaba yao, angalau kuonesha kushirikiana na wengine kwenye majonzi na furaha, sio kujiona superbrand, hutak kuonekana public burebure, na sisi wote ni wa tz na matukio kama haya ndio huonesha thaman zetu kwa jamii.
 
Hello.

Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.

Au ndo masharti ya mganga wao.

Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
We unataka watu tuchanganyikane kama Oxygen na Hydrogen tutengeneze Solution?

Ile ni brand mazee haiwez jimix na kina Best Nasso 🤣
 
Hello.

Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.

Au ndo masharti ya mganga wao.

Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Gardner akiwa hai uliishawahi kumsikia anapiga nyimbo za Wasafi? Kama yeye Gardner aliwachukia na kuwatenga Wasafi akiwa hai, kwanini Wasafi wampende akiwa mfu?
 
Hello.

Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.

Au ndo masharti ya mganga wao.

Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Diamond ni Super-brand hapa nchini, brand iliyotengenezwa kwa gharama kubwa na isiyofananishwa na yeyote yule, hivyo, hapaswi kwenda kwenye matukio hovyohovyo. Yeye kila appearance yake ni anaingiza hela, Je, akienda pale msibani watamlipa?
 
Hello.

Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.

Au ndo masharti ya mganga wao.

Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Dump🚮
 
Back
Top Bottom