sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,154
Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea.
Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya mwanamke nayobidi ayafanye yeye bila wewe kuingilia wala kumsaidia, usije kukubali kufanya majukumu ya mwanamke kwa kudanganywa kuwa ni kujali, exception iwe pale tu anapoumwa and the likes.
Nashangaa sana nakuta siku hizi mwanaume anaji proud kabisa kuwa jumanne na jumapili ni siku yake ya kuandaa chakula, Like what the hell is this shit !!
Mwanaume hakikisha mwanamke unaemuoa anaweza kukufulia nguo zako, anaweza kukupikia, n.k. ni majukumu halali kabisa ya mwanamke ndani ya mahusiano, kujitia unamjali kumsaidia majukumu ya mwanamke ni uboya, hata uwe na pesa vipi usije kunasa huu mtego, ni sawa na kuwa na pesa hutaki watoto wafanye kazi za nyumbani, mwishowe wanakuwa watu wazima hawajui hata kujitandikia vitanda.