T A J I R I
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,771
- 3,643
Kuna dem mmoja boya sana, kuna siku nilimlqza njaa kwa ujifanya anataka kunitest.
Alisafiri kutoka mkoa jirani, safari ya kama masaa3, akafika mida ya saa 12 jioni mm sikuwepo na siujua kama amekuja. Narudi mida ya saa 2 usiku namkuta, hata hajapika na vitu vyote vipo ndani. Mm sikumuuliza kama amekula au la maana mwanamke ukifika kwa mtu wako sharti upike unless hakuna cha kuika.
Nilipofika nikawa napigisha stori tu wala simuulizi kuhusu kula maana mm nishabunya. Mara saa3 hio sioni mtu akijishughurisha na kupika, nikasema ookey, nikaingia bafuni nikaoga, ile natoka bafuni ndio anaanza ku complain. Umerudi hujaniuliza kama nimekula au la na blaa blaa kibao. Mara ooh kanichukulie chips basi, nikampa hela akachukue mwenyewe akakataa.
Nikavuta shuka nikauchapa, nae akaja kulala nikasema ook. Akalala njaa. Sipendi ujinga mm. Yaani nipeke na mwanamke yupo, noooo