Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,311
- 12,860
Hivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati?
Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo wake hauathiri ubora wala utamu wa chapati.
Hivyo kwa maoni yangu hakuna umuhimu wowote wa kuviringisha chapati, na tuache kuwanyanyapaa watu wasiyo na ujuzi wa kuduarisha chapati.
Tubadilike.