Kendrick Lamar atuma diss kwa J Cole na Drake

Huyu mtu wenu atagaragazwa vibaya sana, kuweni wapole na muwe na subira, Drake aki battle Kendrick, niko tayari ku weka bet Kendrick atashinda hiyo battle, bado sijawahi kuuona ubora wa drake kwenye 'diss tracks'
Mzee Kendrick karudisha mkia ndani, ume sikiliza Nyimbo ya Drake ft 2pac na snoop dog??.
Note: ai ime ongeza sauti za Tupac na snoop.

Nahisi drake kasha amua kumaliza hii vita, Kendrick ata fa ya kosa kubwa kumjibu mwamba.
 
K dot aliwachana katika lines tuu kadhaa wakaja na track nzima...vip k dot akija na track nzima.
Nadhan haumjui K dot vizuri.
 
Mzee Kendrick karudisha mkia ndani, ume sikiliza Nyimbo ya Drake ft 2pac na snoop dog??.
Note: ai ime ongeza sauti za Tupac na snoop.

Nahisi drake kasha amua kumaliza hii vita, Kendrick ata fa ya kosa kubwa kumjibu mwamba.
punguza ushabiki mzee, drake sio wakumpa dhamana kwenye diss track
 
I think K.dot expected to go head to head with J Cole.
Cause with Drake he doesn't have much to gain but a lot to lose.

We all know he is the lyrical one between the two so if he wins against Drake then it was expected but if he loses on the other hand, I don't think his career would recover.
 
Back
Top Bottom