MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 4,945
- 15,527
Amefanya vizuri, sasa nategemea Kendrick aje kufunga mjadalaMastaKiraka Ume isikiliza diss track ya Drake ni 🔥🔥🔥
Amefanya vizuri, sasa nategemea Kendrick aje kufunga mjadalaMastaKiraka Ume isikiliza diss track ya Drake ni 🔥🔥🔥
Ndo ilivyo takiwa, walikuwa wana zingua Sana.Yes nazungumzia ya Rick Ross, champagne moment,drake kaua but kawadiss niggas kibao,Young Metro,Kdot,Future,Rick Ross,
Hawezi Tena, ndo kasha zikwa tayari.Amefanya vizuri, sasa nategemea Kendrick aje kufunga mjadala
Hivi mnapimaje hivi vitu wazee??Hawezi Tena, ndo kasha zikwa tayari.
MastaKiraka una Drake alicho mfanyia Kendrick juzi😁Hivi mnapimaje hivi vitu wazee??
Huyu mtu wenu atagaragazwa vibaya sana, kuweni wapole na muwe na subira, Drake aki battle Kendrick, niko tayari ku weka bet Kendrick atashinda hiyo battle, bado sijawahi kuuona ubora wa drake kwenye 'diss tracks'MastaKiraka una Drake alicho mfanyia Kendrick juzi😁
Mzee Kendrick karudisha mkia ndani, ume sikiliza Nyimbo ya Drake ft 2pac na snoop dog??.Huyu mtu wenu atagaragazwa vibaya sana, kuweni wapole na muwe na subira, Drake aki battle Kendrick, niko tayari ku weka bet Kendrick atashinda hiyo battle, bado sijawahi kuuona ubora wa drake kwenye 'diss tracks'
K dot aliwachana katika lines tuu kadhaa wakaja na track nzima...vip k dot akija na track nzima.Mzee Kendrick karudisha mkia ndani, ume sikiliza Nyimbo ya Drake ft 2pac na snoop dog??.
Note: ai ime ongeza sauti za Tupac na snoop.
Nahisi drake kasha amua kumaliza hii vita, Kendrick ata fa ya kosa kubwa kumjibu mwamba.
punguza ushabiki mzee, drake sio wakumpa dhamana kwenye diss trackMzee Kendrick karudisha mkia ndani, ume sikiliza Nyimbo ya Drake ft 2pac na snoop dog??.
Note: ai ime ongeza sauti za Tupac na snoop.
Nahisi drake kasha amua kumaliza hii vita, Kendrick ata fa ya kosa kubwa kumjibu mwamba.
Mzee mpaka Sasa diss track yake na ile ya Chris's ndo ngoma hot.punguza ushabiki mzee, drake sio wakumpa dhamana kwenye diss track
Amna bhana, mpeni Maua yake drake, Ile chuma ni hatari.Sijaona disss bado,softierr than a baby powder..sikiliza diss ya Cassidy to Meek Mill R.A.I.D
Sijui bado niendelee kumskilizia ?!!Haya MastaKiraka euphoria ime toka, huyo Kendrick wenu Hana maajabu tena 😁
Euphoria ni kali sana!Forest Hill ume sikiliza diss track ya Kendrick, ni mid na mbovu mno
Nilisema , Kendrick ni overrated tuForest Hill ume sikiliza diss track ya Kendrick, ni mid na mbovu mno