George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,073
- 4,988
Don’t mess with short guys.J. Cole apologizing was the best move he did his entire career
Oooh!
Don’t mess with short guys.J. Cole apologizing was the best move he did his entire career
Nakazia!Nah...jamaa hakusema hivyo...kwanza ye ni fan wa ovo....so hakuwahi kumkubali k dot, weka rekodi sawa kwanza. Tukirudi kwenye diss track ya Euphoria..ni track nzuri sana sema kwa mtu mvivu kumeng'nya mambo huwezi muelewa k dot.
Na wewe ni fan wa Kendrick ndomana umeona Euphoria ni diss track kali.Nah...jamaa hakusema hivyo...kwanza ye ni fan wa ovo....so hakuwahi kumkubali k dot, weka rekodi sawa kwanza. Tukirudi kwenye diss track ya Euphoria..ni track nzuri sana sema kwa mtu mvivu kumeng'enya mambo huwezi muelewa k dot.
J. Cole apologizing was the best move he did his entire career
Ingekua mwisho wa kazi yake ya kisaniiKwamba ingekuaje yani?
Na wewe ni fan wa Kendrick ndomana umeona Euphoria ni diss track kali.
Yeye mwenyewe J.Cole anajua ambacho kingemkuta, ndo maana akaamua kurudisha mpira kwa goli kipa. Labda kama wewe unajua uwezo wa J.Cole kuliko J.Cole anavyojijua unaweza kusema vinginevyo.Kwamba ingekuaje yani?
Drake won the battleHii rap battle inaenda kuweka historia kwenye rap game!
rule of rap battle mtu aki rap false things technical he lost na hio ndio ilikuwa checkmate ya drake mwamba k. dot kalishwa matango pori aka rap for almost 2 diss trackHii rap battle inaenda kuweka historia kwenye rap game!
Tokaaaaa!Drake won the battle
"we plotted for a week and gave you the fake information"
instead of doing research and investigation you jump straight to the studio and celebrate about it
Unaongea PUMBA tu!rule of rap battle mtu aki rap false things technical he lost na hio ndio ilikuwa checkmate ya drake mwamba k. dot kalishwa matango pori aka rap for almost 2 diss track
sikilizeni the heart part 6 amemvunja vunja k. dot na diss track zake zote
if k. dot won't gonna response that's sounds like a real win to drizzy
Drake kwenye hiyo the heart part 6 hakuna cha maana alichokifanya. Ameangukia kwenye defensive trap.Unaongea PUMBA tu!
How did you conclude kuwa Kendrick amerap false things!?
Don’t tell me kuwa umesema hivi kwakuwa Drake amekanusha kwenye diss track yake!
“if k. dot won't gonna response that's sounds like a real win to drizzy” Even Drake would laugh at this, umefuatilia hii vita tangu imeanza halafu unaamini kabisa kuwa kuna uwezekano wa Kungfu Kenny kutokujibu hii diss track!?
😂😂😂😂
Wadau wanasema Drake amenyoosha bendera NYEUPE kiaina!Drake kwenye hiyo the heart part 6 hakuna cha maana alichokifanya. Ameangukia kwenye defensive trap.
Kwa ufupi Drake hajafanya diss track bali amefanya court defence.
Kuna mstari anamwambia Kendrick "I don't wanna diss you anymore ".....hahahah! Ameshashindwa! Sasa ngoja Kendrick amalizie bomu la mwisho la kumsambaratisha kabisa!
defending a wife abuser its crazy manTokaaaaa!
How are you sure about this!?
Is it because Drake said so!? Where is the PROOF!?
Kama kweli Drake amempa Kendrick taarifa za uongo, hii ndo kwake ilikuwa game changer, come foward with the evidence then , it’s over YOU WON THE BATTLE!
View attachment 2982220
After you finish, Spit it out Crodie!!!
Bad news amelishwa false information karuka nazo. Drake anapiga kwenye mshono suala la Kendrick na mke wake.Aisee!
Kendrick ameongea na familia nzima ya Drake, yaani mmoja baada ya mwingine. Anaongea na Adonis utasema ni mtoto wake wa kufikia.
Hii diss track ni pasua kichwa, sijawahi ona diss track ya namna hii.