Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,771
- 54,065
- Thread starter
- #61
Mzee una jua maana ya diss kweli??, yaani una kusanya vitu vilivyoko mtandaoni Kisha una msemea fulani ๐คฃ๐.Euphoria ni kali sana!
Kendrick ni maji marefu sana, Drake ameshakalishwa, awe mpole tu.
Kaangalie mashabiki wake mwenyewe wana mponda, Wana sema ni utumbo tu.