makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,385
- 81,725
Najua itakuwa na ngoma kali kadhaa.Cole mkali aisee, naona mzee baba Eminem nae kamaliza kutengeneza album yake.
Najua itakuwa na ngoma kali kadhaa.Cole mkali aisee, naona mzee baba Eminem nae kamaliza kutengeneza album yake.
Yap, Ina semekana dre kaitengeneza yote.Najua itakuwa na ngoma kali kadhaa.
Kabisa2004 mpaka 2016 ndiyo ilikuwa golden era ya muziki duniani...
From there naona ujingajinga tu unaendelea...
Verse ya Cole ni ya kinyamwezi sanaFirst person shooter ni 🔥🔥🔥
Yes Kaka Jana nikapita zote,hii Sasa ni WWIII,but rosay diss yake soft SanaForest Hill ume isikiliza give me 50 ??
Yap, una maanisha diss ya Rick Ross 🤓.Yes Kaka Jana nikapita zote,hii Sasa ni WWIII,but rosay diss yake soft Sana
Yes nazungumzia ya Rick Ross, champagne moment,drake kaua but kawadiss niggas kibao,Young Metro,Kdot,Future,Rick Ross,Yap, una maanisha diss ya Rick Ross 🤓.
Oya drake kaua mno, j Cole kani sikitisha kuomba msamaha