Kama hujawahi kuendesha hizi gari tano, KAJITAFUTE!

Hater hawakosekani mkuu.

You tube kuna jamaa wanafanya review za simu mpaka wivu. Kama unajua haya mambo mkuu fungua channel utapiga hela hata za matangazo ya hayo magari.

Sisi watanzania ku appreciate ubora wa mtu ni ngumu sana.

Mimi kwa sasa kabla sijanunua kitu lazima nipitue review mbali mbali ndio nifungue mfuko. Hii habari yako wspo itakaowasaidia labda ueleze zaidi hasa kwa wanaotaka kununua.

Mfano binafsi ningependa nijue sana kuhusu hybrid car hizi zipoje, na je zinatumia mifumo yote ya nishati na ubora wake upoje.

Je umetumia gari za umeme hapa Tanzania?
 
1.*Ukipata demu mweupe halaf mfup kidogo, huyu anakuwa mtamu kias chake, na haswa ukimpata club ndo utaenjoy kama hujawah pata mwanamken club blaza bas jitafute

2. Demu Mweusi halaf mrefu, kama umewah kutembea mikoa ya kigoma pamoja na wale weny asili ya Rwanda. Sifa kuu wa wanawake hawa wanajua kupenda sana. Kama hujawah kupata demu wa sehem hizi jitafute Broo

3..mwanamke maji ya kunde halaf nyuma Ana bambataa, hawa wanapatikana kanda ya kati haswa dom na singida, ni wazur sana. Kama hujawah kupata mwanamke wa kanda ya kati jitafute brother

4. Kuna wanawake maji ya kunde halaf hawana bambataaa, hawa wanapatikana kilimanjo na arusha kidogo, sifa kubwa hawa wanapenda hela sana na wanajua kupenda. Kama hujawah pata pisi ya Arusha au kilimanjaro jitafute brother hujui wanawke bado ( natania tuu baada ya jamaa kuja na inshu ya magari wakat wengne hata baiskel tuu hatuna)
 
1. Suzuki Carry
Hii inaingizwa kwenye list kutokana na ubora wa engine yake. S. Carry ni gari ambayo engine yake iko very robust. Inachanganya kwa upesi sana. Huwa naifananisha engine hii kama engine ya piki piki ya mashindano iliyofungwa kwenye gari.

2. Mitsubishi Pajero Mini
Ukishasikia gari inaitwa Pajero basi lazima iwe vizuri kwenye hivi vitu viwili; stability na braking systsm.
Pajero mini ni gari ambayo iko stable sana hasa kwenye bara bara za vumbi. Ina uwezo mkubwa sana wa kusimama. Inaweza kutoka spidi 80 hadi 0 ndani ya umbali wa mita mbili

3. Isuzu D Max
Kuna mtu aliwahi kusema, kwa kuwa Isuzu wamejikita katika kutengeneza Magari makubwa basi ni rahisi sana kwao kutengeneza magari madogo. Dmax iko vizuri katika mifumo yote. Ina suspensio nzuri, gear knob na brake ziko smooth, taa ina mwanga mzuri na wa kutosha. Inafaa sana kwa safari ndefu na hata za usiku

4. Toyota IST
Ukiipata ile yenye 1500 cc, huhitaji tena kuwa na v8. Highway inafanya vizuri sana. Iko stable kwa spidi kubwa. Unaweza tembea 160 bila wasi wadi wowote.

5. Range Rover
Hapa nadhani Range inajizungumzia yenyewe. Ukiendssha Range rover, gari zingine utaziona kama 'taka taka'. Kwanza ina nguvu kubwa, ina suspension nzuri na bara barani iko vizuri.

6. Nissan Hardbody (bonus track)
Hii inaingizwa kwenye orodha kutokana na uwezo wake rough road. Ukiwa na hii gari, huwezi kuelewa kukwama kwenye matope ni kitu gani. Ina 4 wheel drive pamoja na diff lock, pia ina uwezo mzuri wa kukimbia na kutoa upinzani kwa gari nyingi bara barani.

Ukiipata yenye Turbo, maisha umeyapatia.
Mpambanishe RANGE ROVER na MERCEDES BENZ S CLASS
 
Back
Top Bottom