Sio kwa ubaya lakini umejuaje kama wadudu wake ni wachache Mkuu?Je, inawezekana mtu kupata HIV, kwenye sex chini ya dakika 2?! Ikiwa ulikutana nae anatumia dawa na wadudu wake ni wachache?
Huyu hadi amepata muda wa kupiga hesabu tayari 72hrs zishapita kitaaamboSio kwa ubaya lakini umejuaje kama wadudu wake ni wachache Mkuu?
Na kwani wakiwa wachache hawaambukizi?
Ushauri wangu kama upo ndani ya masaa 72 nenda kituo cha afya ukapate PEP.
Nilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sanaSio kwa ubaya lakini umejuaje kama wadudu wake ni wachache Mkuu?
Na kwani wakiwa wachache hawaambukizi?
Ushauri wangu kama upo ndani ya masaa 72 nenda kituo cha afya ukapate PEP.
Sawa subiri miezi 3 ukapime tena....Nilifata pep nikapima niko saw, nikaanza pep ndan ya saa 13 tu na mpaka leo nina siku 10 nameza pep kaka
Uko sahihiNyie Si mnapenda vitoto vya 2000 bwana?? Hivi viingi vimezaliwa na ngwengwe .
Kumbuken miaka ipi ngoma ilitishia.
Mashangazi mengi ambayo yalivizaa hivi vitoto, wameshazeeka, au kutangulia mbele ya haki.
Yamebaki Mashangazi salama salimini ni kujichagulia na kusukuma nyama tu 👌🤩
Unachukua tizi ya ARV haya bhana 🤣🤔🤔Natumia TLD zmeandikwa iv.. ila mwanzo ndo kichwa na tumbo ndo vilikua vnauma ila sasa hv nko saf tu, kama nameza panaldo
Ndio mkuu ukifuata utaratibuHizi pep zina ufanisi mzuri?!