Je, inawezekana mtu kupata HIV kwenye sex chini ya dakika 2?

Huu mtego wa nyama kwa nyama siwez uingia hata kama tumepima mpaka tujuane kwanza sababu ngoma na yenyewe ikiingia kwa mara ya kwanza haionekanagi
 
Siku nyingine usirudie kwenda nyama kwa nyama.
Na ilikuwaje hukujua ni mwathirika kabla ya kupiga???
Ckujua ila bdae nkaambiw na bahat wakat wa sex nlikua nawah job ko nlisukum mar kam 5 nkawa nmemaliz kaka, nlivomuuliz akasem anatumia dawa na hat alipima wing wa wadudu uko chin san, pia aliezaa nae sio mgonjwa
 
🤔🤔ila usijali kama ukimwi ni mbaya ungemuuwa yeye au sio.
 
Siku nyingine usirudie kwenda nyama kwa nyama.
Na ilikuwaje hukujua ni mwathirika kabla ya kupiga???
Pia bugando walisem asilimia za maambukz kwa mapenz ya mbele sio sana, tofaut na wanaoendag kinyume..ila pia alisem huy bint anameza dawa toka ana miak 7 ko hawezi kuambukiza ni ngumu
 
Sio RAHISI
Mtu akiwa anatymia dawa Viralload huwa.ndogo kiasi kwamba gata uwezekano wa kuambukiza hupungua sana sana lkn unashauriwa kupima kujiridhisha na KUCHUKUA TAHADHARI.
Hata hivyo kuwa na Matymaini kuwa pamoha na yote unaweza kuendelea kuishi kwa malengo yako ya maisha.
Mwisho lkn si katika umuhimu. Acha DHAMBI na TUBU kwa zinaa au uasherati
 
Asant🫱🏽‍🫲🏼
 
Nlipima wakat nachukua dawa nkawa saw na nliwah ndan ya saa 13 tu ko nkaambiwa nizingatie ntakua saw, na nkimaliza dawa nipime tena
 
Possibility ya wewe kupata UKIMWI kwa hiyo scenario ni almost zero kwa sababu mobility
Mosi, anatumia dawa kwa kufuata masharti na very low( zero) viral load maana yake wadudu waliopo kwenye mzunguko wa damu ni almost zero hivyo uwezo wake wake wa kuambukiza ( transmissibility) nj zero. Kitaalam tunasema Zero viral load is equal to zero transmissibility.

Police, umesema ulitumia muda mchache kwenye tendo hivyo haukutokea mchubuko wowote. Sote tunajua ili kutokea maambukizi ni mpaka itokee friction so km ilikuwa ni ingiza na kuchomoa possibility ya mchubuko ni almost zero

Mwisho kabisa ningekuwa mimi ndio wewe kwa hizo scenario ulizoeleza nisingetumia PEP na ningekuwa na amani ya moyo na nafsi. Ni mara Mia kusex na mwanamke mwenye HIV anayetumia dawa kwa usahihi kuliko mwenye maambukizi asiyejijua
 
Asant🫱🏽‍🫲🏼
Andelea na maisha usitishwe sana. Kansa na kisukari ni hatari zaidi. Epuka mitindo ya maisha itakayokuingiza katika magonjwa ya mtindo wa maisha. CHUKUA TAHADHARIYA MAHUSIANO YA KIMAPENZI
 
Possibility ya wewe kupata UKIMWI kwa hiyo scenario ni almost zero kwa sababu mobility
Mosi, anatumia dawa kwa kufuata masharti na very low( zero) viral load maana yake wadudu waliopo kwenye mzunguko wa damu ni almost zero hivyo uwezo wake wake wa kuambukiza ( transmissibility) nj zero. Kitaalam tunasema Zero viral load is equal to zero transmissibility.

Police, umesema ulitumia muda mchache kwenye tendo hivyo haukutokea mchubuko wowote. Sote tunajua ili kutokea maambukizi ni mpaka itokee friction so km ilikuwa ni ingiza na kuchomoa possibility ya mchubuko ni almost zero

Mwisho kabisa ningekuwa mimi ndio wewe kwa hizo scenario ulizoeleza nisingetumia PEP na ningekuwa na amani ya moyo na nafsi. Ni mara Mia kusex na mwanamke mwenye HIV anayetumia dawa kwa usahihi kuliko mwenye maambukizi asiyejijua
Asant kaka huyu anatumia dawa vzr tok ana miak 7 alivosem, na afy yake iko vzr.. lkn pia alisem wadudu wako chin san na aliezaa nae wala hana maambukiz
 
Ondoa wasiwasi, ishi maisha yako ya kawaida km mwanzo. Tofauti na hapo utaanza kupata dalili ambazo ni side effects za PEP na low immunity kwa sababu ya severe depression.
 
Nashukur kaka🤦🏽, maan kun mda nakosa aman san
 
Huu mtego wa nyama kwa nyama siwez uingia hata kama tumepima mpaka tujuane kwanza sababu ngoma na yenyewe ikiingia kwa mara ya kwanza haionekanagi
Mzee wa kupambania na Mzabzab watakwambia kufa utakufa tu hata usipokufa kwa ngoma basi waweza kufa kwa kansa ya damu, stroke, BP, kisukari au ajali ya gari.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Nakubal ila sio kwa hili kaka😔
 
Ulikuwa hujui kama ana umeme au? au ulikuwa unajua ukasukumwa na power of nyege?

Ukipanda upepo utavuna tufani.. Mshahara wa kuzini mwezi mtukufu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom