Si ndo kina nyie mnasusa kazi kuchezea simu tuInamaana ma babe ZENU huwa mnawabebisha sangapi ?
Kwa sasa BotswanaMupo Mbona Kama mnayoyoma makamanda
12:50 A.M
Kuyoyoma ndo nini mkuu πππMupo Mbona Kama mnayoyoma makamanda
12:50 A.M
Nipo bongo dar es salama, East Africa πππKwa sasa Botswana
+267
Kichwa kinavimbaaaa
Kuyoyoma Ni kupungua (muda kupungua) mfano Kama mpo kwenye mpira au shuleni unaweza kutumia hili neno kuelezea muda una yoyomaKuyoyoma ndo nini mkuu πππ
Tutatimba US siku moja sioNipo bongo dar es salama, East Africa πππ
+267 inshallah mwezi October ntaenda ngoja nipone kwanza nimechoka kua ndani 24/7 yaan miguu Ni kitu Cha muhimu Sanaa ππ yaan ma CLUTCHES yanachosha unatembea mita 40 umechoka na hauwezi kwenda mbali
I
Msalimie sana shem na wajomba zanguShangaz anasema nipunguze mwanga wa simu anataka kulala ππππππππ
Yes,Tutatimba US siku moja sio
+1
nguvu za nini01:04 mungu tupe nguvu sisi watu wa shift za usiku
Nimekupata sana ticha wa kiswahili...Kuyoyoma Ni kupungua (muda kupungua) mfano Kama mpo kwenye mpira au shuleni unaweza kutumia hili neno kuelezea muda una yoyoma
Zimefika kijana πππππ..Msalimie sana shem na wajomba zangu
Wapi dar? Siji ng'oKaza kaza sem ngumu hii
Kala banYes,
Everything is possible under the sunπ
Mdogo etu business intelligence you wap π simuoni
Kwanini sasa mbna tupo huku unyama mwingi na mwanangu Vincenzo JrWapi dar? Siji ng'o