Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Kwa haya mafriji labda niwe mke wa mwarabu naamka asubuhi kupika tu hadi jioni ila kwa maisha haya ya home kurudi jioni hivyo vitu vitabaki like that for ages!
Au muwe familia ya watu wengi au mnabeba take away mkitoka vinaisha..Mkiwa wachache afu hamshindi nyumbani lazma viharibike
 
Mafriji ya awamu hii ya tano ni matupu kwanza hayawashwi kila wakati
halafu ujue kuna baridi sana tunatumia zaidi vitu vya moto.

Subiri labda msimu ujao wa joto tutaweka picha za ndani ya friji kwa sasa labda tuweke picha za friji kwa muonekano wa nje
 
ase Wakuu mnawezaje kutunza had vinywaji ?
yan mimi nikiweka hata soda mbili tu usiku sipati usingizi nabaki kulizunguka friji
Roho inanambia "my bro stop cheating your self kunywa izo soda ulale""

Saiv friji limebaki la kuwekea makabichi tu
Iyo Roho ni uswahili sana
 
Back
Top Bottom