Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Naona juice za rozela za kutosha mkuu... unaupungufu wa damu nini?? Unatumia flavour ya aina ipi.. vanila au vinto?? I like.
Ni juice mix ya tikiti maji, strawberries na tangawizi...kajuice flani amazing
 
Yaani mpaka nafika page ya tano mafriji niliyoyaona ni mawili tu ya mtoa mada na member mmoja tu, jamani mmeambiwa muweke picha ya mafriji yenu mbona hatuyaoni wakuu!

Mafriji ya awamu hii ya tano ni matupu kwanza hayawashwi kila wakati
halafu ujue kuna baridi sana tunatumia zaidi vitu vya moto.

Subiri labda msimu ujao wa joto tutaweka picha za ndani ya friji kwa sasa labda tuweke picha za friji kwa muonekano wa nje
 
HUU UZI HAKIKA NIWAKUUMIZANA....YAN MNAVYOZIDI KUTUPIA MTANIFANYA NAMIMI NIENDE KWA JIRAN NIKAPIGE PICHA FRIJI LAKE JAPO CJUI NTAANZAJE CJUI ATANIONA MWANGA NA VILE ANAVYO NIHISIGI
 
Mwambie unataka kununua kama lake; wabongo tunavyopenda sifa atakuruhusu kwa moyo mkunjufu...
 
Back
Top Bottom