Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

inside-empty-fridge-100504459.jpg
 
Nimeenda kwa rafiki yangu nikafungua friji lake nikajionea maajabu ya dunia. Mambo ya aibu kwa mtoto wa kike

Hata friji la nyumbani kwa mama huwa nahangaika sana kupanga, kutoa vitu visivyo muhimu. Unakuta mboga imebaki kidogo tu dada kwa uvivu anatia hotpot lote kwenye friji au hata sufuria.

Vitu vingine vinasahaulika humo hadi havifai tena.

Kinachonikera kuliko vyote ni kuweka mavituvitu bila kufunika. Friji linanukia ovyo ovyo.

Haya mimi naweka langu; sasa hivi ni high season flani so limenona kidogo(teh teh).

Naruhusu michango na marekebisho nitayafanyia kazi.

Naomba utuoneshe friji lako au hata utuambie lina nini hivi sasa?



View attachment 820368View attachment 820369
Hilo kopo lenye mistari ya kijan ni nini kipo ndani?
 
Umenikumbusha uzi mmoja ukiwahi kuletwa humu kuwa ukikuta ndizi na tango kwenye friji ya mwanamke ambae hajaolewa chonde chonde usitumie..
Hahahahah...mkuu umetisha. Ila matango wanawekaga kwenye macho namna hii...

Cucumbers-on-Eyes-Facial-Mask-620x412.jpg
 
Back
Top Bottom