HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

Mkuu Golf baby walker 😂😂 Vitamu sana ivo. MK ngapi maana wana generations zao wanaziname MK sahivi nadhani wapo MK8
Citi golf hapo huniambii kitu, huyu ni mchumba wakijerumani, kwenye series ya mk nimependa hii series ya mk4 ijapokuwa mk 7 na mk 8 zimetulia, sema hizi gari kwa South Africa mk 7 na mk8 ni risk sana kumiliki hata uwe na bastola wajanja wanaondoka na hii gari. Ndio gari zinazoongoza kuibiwa

Sema citi golf bongo sijawahi kukutana nayo
 
Mfano CX5 ya 2012
Screenshot_20240315-182834.png


Hafu ya 2014
Screenshot_20240315-182858.png


Hafu ya 2015
Screenshot_20240315-183022.png


Sijui ata wanapangaje hawa jamaa izi kodi.
 
Back
Top Bottom