Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 19,270
- 50,732
Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4.
Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka 2024 na 2025 inaweka kuwa ni mwaka mzuri kwa Mazda kujazana Tanzania.
Huyu Mazda CX-5 mwenyewe ni diesel SkyActive cc 2,200 SUV anaenda kama CIF $5,000 na kuendelea. TRA utacheki mwenyewe kwa kuangalia mwaka.
Hii ni fursa nzuri kwa mafundi wa magari kuanza kujiandaa kupambana na engine ya diesel ya huyu mjamaa, pia waingiza vipuri na wazee wa decorations wachangamkie fursa.
Mazda ata-perfom vizuri zaidi akisaidiwa na Mazda Verisa, Mazda 2 (demio), Mazda 3 (Axela) na Mazda 6 (Atenza) na mdogo wake CX5 bwana CX3.