Huyo mwenye Kitambi atazama tu maana hakuna namna 🤣🤣🤣🤣
Fire Hapo hawawezi kugusa Mpaka maji yapungue... Sasa Hao fire unakuta mtu kaenda mafunzo Miaka ya 2001Halafu kuna watu wanalipwa wanaitwa Fire na uokoaji, hapo wakiitwa watatupiana mpira mpka maafa
jasiri achi asili nduguFire Hapo hawawezi kugusa Mpaka maji yapungue... Sasa Hao fire unakuta mtu kaenda mafunzo Miaka ya 2001
Hapo huwezi fanya hivyo. Maji haayatakiwi kigusa mwili haswa eneo pana. Boss magoli ulipanda. Physics form two ukaishindwa?Sema hizi ni training za kawaida ambazo tumefanya sana udogoni unafunga miguu kwenye kamba Kisha unaenda mgongo ukiwa chini tumefanya kwenye magoli sana
Tuwaruhusu watoto kucheza michezo hata ya hatari huwa inasaidia kwenye hali ngumu
pia shule haiyamiUkionaa mvua asubuh mwambie mwanao alalee ,,elimu Haina mwishoo