Hali ni Tete

Upo sawa, mazoezi ni muhimu ila usihitimishe, Hayo mazingira unaweza jifia tu na pushup zako 100 kila asubuhi, mchana na jioni.
We itakuwa hufanyi mazoezi na hujui nini maana ya Push up 100.

Ni kwambie sasa mtu anayeweza kupiga Pushup 100 hawezi kushindwa kupita kwa ile kamba.

Uzuri wa maji ukishapata pakujishikiza tu maji yanakusapoti na kupunguza uzito.

Ndio maana unaona huyo dogo aliyepita kwenye ile kamba wala haijanesa nesa sana.

You just need an ancor
 
Ni kweli kabisa. Sijui nani anawambia watu kwamba ukiwa mnene huwezi kufanya mazoezi.

Watu wapo wapo tu hata kukimbia kilomita moja tu hawezi.
Life style mkuu. Bia, nyama choma, halafu mafuriko kama hayo mpaka yaje yakukute ukiwa juu ya lori ili utembee na kamba ni mara ngapi inatokea? Ila bia na nyama zipo kila siku.
 
We itakuwa hufanyi mazoezi na hujui nini maana ya Push up 100.

Ni kwambie sasa mtu anayeweza kupiga Pushup 100 hawezi kushindwa kupita kwa ile kamba.

Uzuri wa maji ukishapata pakujishikiza tu maji yanakusapoti na kupunguza uzito.

Ndio maana unaona huyo dogo aliyepita kwenye ile kamba wala haijanesa nesa sana.

You just need an ancor
Mazoezi nafanya ila si hizo pushup mia. Mafuriko yakija nikawa juu ya lori kama wenzangu hapo lolote linaweza kutokea.
 
Sema hizi ni training za kawaida ambazo tumefanya sana udogoni unafunga miguu kwenye kamba Kisha unaenda mgongo ukiwa chini tumefanya kwenye magoli sana.

Tuwaruhusu watoto kucheza michezo hata ya hatari huwa inasaidia kwenye hali ngumu
Nimefanya sana nilivyokuwa scout
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom