Hivi tatizo la umeme ni huku mikoani tu?

Mkuu ukiwa na milioni 3 unapata umeme wako na unasahau huo usumbufu wa hao TAA NESI KOO
Mvua ikinyesha… jua lisiwake kabisa week nzima mfano, solar ina nguvu ya kuhimili?
Maana mikoani huku kuna nyakati jua mpaka mnalimiss.
 
Mvua ikinyesha… jua lisiwake kabisa week nzima mfano, solar ina nguvu ya kuhimili?
Maana mikoani huku kuna nyakati jua mpaka mnalimiss.
Hiyo ya milion 3 inakuwa na power kubwa na unakuwa ni umeme kama wa tanesco tu. Halafu panel zinachagi battery hata kwa mwanga tu sio mbaka jua liwake.
 
Ni masikitiko makubwa sana,visingizio vingi mno.
Hapa Shinyanga kuna mitaa wanakata tu wapendavyo.Kwa sasa wamekata na haijulikani iwapo utarudi.Hii hali inanikumbusha miaka ya mwanzoni 2000.Hawa Tanesco kazi yao ilikuwa kukata tu umeme ili mradi mkereke.

Nchi hii ilivyo,angekuwa Magufuli ndiye Rais, usingeona hii hali.
Nina hisia mbaya juu ya hili,huenda Mama anahujumiwa.Siwaamini wagombea urais
 
Back
Top Bottom