Hakika changamoto ya ajira imekuwa kubwa na Maisha yanazidi kunibana

 
Yaani umeamua uachane kabisa na biashara alafu wanaume wenzako wakuajiri? Na wao wakiamua kuacha kabisa biashara itakuwaje
?
 
Hutaiweza biashara kwasababu unaiamini elimu yako iendeshe biashara.

Ushauri wangu kwanza jiondoe kweny list ya wasomi halafu sasa njoo kwny Biashara.
nimeshapoteza muda mwingi nahisi nitajichelewesha sana maana naona ajira ndio itafanya mtaji kuwa stable
 
Nipo katika kipindi kigumu cha Maisha kwa sasa ambapo changamoto zimekuwa kubwa sana na zinanibana. Nina degree holder utawala, pamoja na uzoefu na ujuzi katika mauzo, masoko, ukusanyaji wa data, na uandishi wa miradi. Aidha, nina ujuzi kompyuta, na uzoefu wa miaka 7 kwenye kazi na rekodi nzuri.

Kwa miaka 9 iliyopita, nimekuwa nikifanya biashara lakini sijaridhika na matokeo. Mara nyingi, biashara inafilisika sasa najikuta nikiumia hasa kwa kuzingatia majukumu yangu kama baba wa familia na nategemewa hivyo nimeamua kuachana kabisa na biashara kwa sasa.

Ndugu zangu, ninawaomba msaada wenu. Kama mdau wa jamii forum, naomba uniunganishe na fursa za kazi ambazo unadhani zinakidhi sifa na uzoefu wangu. Hata kama sijaelezea kila kitu hapa, nina hakika kwamba nina uwezo wa kufanya kazi katika maeneo yanayofanana na ujuzi niliouelezea.

Nipo Dar es Salaam kwa sasa, lakini nipo tayari kufanya kazi popote nchini. Ninajiamini katika kuzungumza lugha ya Kiingereza na Kiswahili vizuri.

Mawasiliano yangu: 0769 055050
Mkuu umeandika Una degree holder sijaelewa hapo ulimaanisha nini, Vumilia tu Mkuu as long as unapata mahitaji muhimu ya Kila siku la msingi kuwa na discipline ya maisha. Fedha na ajira ni tatizo la kidunia hilo.
 
Bilashaka anaendelea kulipwa mshahara na posho kwa kodi za waTanzania, huku akitembelea viete taratibu in town😊
Huku vijana wakilia hawana kazi hawana Ajira nimeanza kusikia mpaka vijana wa Veta nao wanapaza sauti huku vyuo vya Veta vikiendelea kuongezwa
 
Back
Top Bottom