Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

Kwa
actually that one,
is among the best option kamati ya ulinzi, usalama na maadili ccm, may take against the gentleman, politically speaking....

and not necessarily ulipipataja but anywhere but within Africa 🐒
Kwa akili yake anaweza leta mgogoro mkubwa wa kidplomasia.Kijana ni mjinga sana, hajui hata aongee nini, wapi na wakati gani. Ndio tafsiri halisi ya ujinga
 
Zembwela na hando wameahikamana na kitenge wamekua chawa wa kuvizia
 
Maendeleo ni namna Wewe unavyopima na Siyo lazima ujilinganishe na Marekani

Ndio Sababu Shujaa Magufuli amewaachieni Umeme wa kumwaga mshindwe Wenyewe sasa kuendelea 🐼
Sikutegemea kabisa John unaweza kuongea hivyo. Kama unavyoongea ni kweli, kwann uchumi wa nchi ili mjue kuwa upo vizur mnalinganisha currency ya nchi yenu na USA? Mfano :Mwaka 1980,Pound moja ya UK mwaka ilikuwa, Tshs 20 .Lakin sasa, hivi ni takribani Tshs, 3,000.Mwaka 1985 USD moja ilkuwa, shs 500.Lakin sasa hivi ni Tshs 2500 na USD hazipatikani. Ili uchumi wako upimwe duniani unatakiwa, kulinganishwa na wakubwa wa uchumi wa duniani. Nimekupa hizo figure ili ujue maana ya uchumi kukua.
 
Tanzania ukiondoa Ufisadi na Rushwa za viongozi wetu uchumi uko vizuri Sana

Tatizo ni wezi kurithisha Uongozi Watoto wao hapo ndipo Mungu wa Mbinguni hakubali na tunakuwa Taifa la Mabumunda!
 
Makonda kwa sasa hana lake ndaki ya chama, yeye akomae na kazi yake mpya ya Utarishi.
 
Kwa wadhifa wa Mkuu wa Mkoa, Makonda ni mtumishi wa serikali na sio mweneezi wa CCm. Huyu mwandishi anaonyesha upeo mdogo katika kuchambua mambo ya kisiasa
Huyo kichwa yake imeathiriwa na ARV usihangaike nae!
 
Nyau km Makonda na bahati mbaya hana hata akili nani amwogope. Rudisha kwao Kolomije akafuge fisi. Yule dogo ni jinga sana
Huyo hakai Kolomije akiwa Dar anakaa Masaki Kwake na akiwa Mwanza anakaa Capri Point kwake yote maeneo ya kishua kwa Tanzania hii!
Sio mwenzako ila endelea kuumia tu huyo anaishi maisha ya level za juu kabisa hapa Bongo!
 
bora wamuondoe tu ili kuleta heshima kwenye chama na iwe fundisho kwa wengine ambao hawawezi kudhibiti ndimi zao.
Unaumia ukiwa nchi gani? Uswahiba wa samia na.makonda haujaanzia barabarani,chama kina heshima kuliko unavyodhani
 
Back
Top Bottom