Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

Mchambuzi maarufu wa maswala ya Siasa nchini mh Gelard Hando amesema mh Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa

Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema

Source: WASAFI FM
Ashafukuzwa mpaka hapo, aiongoze tu nyash yake akaendelee kukaba na kuua, CCM hawamtaki.
 
Angesema ni raia hapo angemtaja yule mdada wa ulaya aungeunge na wengine.

Sasa alisema ni mawaziri, awataje tu.
 
Back
Top Bottom