Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa

Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema

Source: WASAFI FM

Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Hando cha pombe alisomea chuo gani,uandishi wa habari? Au ameajiliwa kwa ajira chefuchefu. Hana hata certificate. Lakin anajadiliwa utafikiri ni professional.
 
Wewe na Vyeti vyako uko mitandaoni na ID fake 😄😄😂

Elimu siyo kila kitu bali Maarifa ndio Maisha 🐼
Umesema kweli, lakin mbona toka 1961 hatuna maendeleo? Hiyo ni kwa sababu ya kuongozwa na wasio na elimu na uelewa.Kumbuka mwaka 1961 tulikuwa sawa na South Korea kiuchumi. Lakin kwa sasa tupo nyuma sana. Hii yote ni kwa kuwa na machawa wengi kama nyie mnashabikia kina Hando, Liquid, kina Steven Nyerere na wapumbavu wengi. Tunashabikia siasa hewa, hatuwezi kuwa na technology wala innovation yeyote.
 
Ulimi ni kiungo kidogo sana lakini huponza kila kitu 😂😂😂
Mtu anavumiliwa lakini hata kubadirika hataki bora wamuondoe tu ili kuleta heshima kwenye chama na iwe fundisho kwa wengine ambao hawawezi kudhibiti ndimi zao.
Maana daah
 
Umesema kweli, lakin mbona toka 1961 hatuna maendeleo? Hiyo ni kwa sababu ya kuongozwa na wasio na elimu na uelewa.Kumbuka mwaka 1961 tulikuwa sawa na South Korea kiuchumi. Lakin kwa sasa tupo nyuma sana. Hii yote ni kwa kuwa na machawa wengi kama nyie mnashabikia kina Hando, Liquid, kina Steven Nyerere na wapumbavu wengi. Tunashabikia siasa hewa, hatuwezi kuwa na technology wala innovation yeyote.
Maendeleo ni namna Wewe unavyopima na Siyo lazima ujilinganishe na Marekani

Ndio Sababu Shujaa Magufuli amewaachieni Umeme wa kumwaga mshindwe Wenyewe sasa kuendelea 🐼
 
Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa

Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema

Source: WASAFI FM

Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Branch manager na New CEO wa kampuni lao moja. Nyie hangaikeni tu baada ya kazi wanagonga mvinyo pamoja. Hakuna wa kumfanya chochote maana yeye na CEO ni dam dam. Kwani hamjawahi sikia kuwa kama sio Branch manager kumpigia debe kwa Mr. Born in town ili huyu New CEO awe assistant CEO wa the late CEO asingekuwa CEO sasa. Hapo utamwambia nini new CEO kwa huyu Branch Manager hata kama ni mtukutu na mkorofi kiasi gani.
 
Back
Top Bottom