Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,252
- 4,837
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii Boniface Mwamposa ofisini kwake Jijini Arusha.
Nabii Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa lake, Wamempongeza Mh.Mkuu wa mkoa kwa kuendelea kuaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumtaka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa nguvu na Jitihada zake zote.
Aidha Nabii Mwamposa sambamba na watumishi wenzake wa Mungu walimuombea Baraka Mh. Mkuu wa Mkoa wakimsihi Mwenyenzi Mungu aendelee kumpa Utashi, afya njema na nguvu za kutosha katika kuwatumikia wananchi wa Jiji la Arusha.
Mkuu wa Mkoa Mh.Makonda leo anafanya kikao cha ndano cha kuzungumza na wakuu wa Wakurugenzi na wakuu wa Idara mbalimbali pamoja na kusikiliza kero za wadau na wafanyabiashara mbalimbali wanaofanya kazi zao mkoani Arusha. @daupizo_