Faida yangu kibiashara kwa siku nane inaweza kumlipa Mkuu wa Wilaya mshahara; anapata wapi nguvu yakinifokea?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za watoto wao.

Kwanini wale mliowaajiri waishi kama wafalme wakati hawana shengeli kama sisi? Tuamke sasa tuache kutembelea mabasi tupande ndege....tuamke sasa tuache kupambana na daladala tununue magari na twende nayo kazini,,,tuamke sasa tuache kula kimaskini tule kitajiri....nk

Hatuwezi kuwaajiri watu then wakawa mabosi zetu, tunachokiburi cha baraka za Mungu katika utafutaji,tunachokiburi cha umoja kama walipa kodi na tunazo kura kama wananchi. Tuanze sasa kujitambua, tudai haki yetu ya kulindwa katika ulipaji kodi na kuheshimiwa na waajiriwa wetu.

Tuache ulimbukeni wakuogopa magari ambayo tumenunua sisi, tuwasimamie waajiriwa hawa waboreshe mazingira ya kazi. Hakuna mfanyabiashara atafukuzwa amekunywa bia ngapi na serikali ila waajiriwa wa serikali watahesabiana vizibo na kuwajibishana kwa sasa hawana ziada.
 
Kazi ya Kiongozi/Serikali ni kudhibiti wenye mawazo ya kipumbavu kama wawe wanaoamininwakiwa na pesa wanaweza kufanya lolote na wanastahili kuabudiwa.

Hapo ndipo umuhimu wa Serikali huja kwamba hakuna aliye Juu ya sheria by any means.
 
Alikufokea kwa nini fafanua
 
Kazi ya Kiongozi/Serikali ni kudhibiti wenye mawazo ya kipumbavu kama wawe wanaoamininwakiwa na pesa wanaweza kufanya lolote na wanastahili kuabudiwa.

Hapo ndipo umuhimu wa Serikali huja kwamba hakuna aliye Juu ya sheria by any means.
Sheria gani inaweza ukiwa siyo kiongozi wa umma unyanyaswe?

Tukiishi kwa kula jasho letu nikuvunja sheria?

Mbona wasanii wanakula Bata kwa usanii wao? Wafanyabishara wakiamka nchi itapata maendeleo na wataweza kusimama wanyonge wainuke....

Tunaweza kuajiri kuliko serikali cha msingi tujitambue
 
Hakuna anaekunyanyasa Wala sheria inayosema mtu anayanyaswe au kunyanyasa wengine.

Maelezo Yako yanaonesha kwamba pesa inakupa jeuri ukidhani unaweza fanya lolote Kwa sababu una pesa,unajidanganya.Serikali ipo Kwa Ajili ya kushughulika na watu kamanhie mnaotaka kuvuka mstari
 
Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za watoto wao.

Kwanini wale mliowaajiri waishi kama wafalme wakati hawana shengeli kama sisi? Tuamke sasa tuache kutembelea mabasi tupande ndege....tuamke sasa tuache kupambana na daladala tununue magari na twende nayo kazini,,,tuamke sasa tuache kula kimaskini tule kitajiri....nk

Hatuwezi kuwaajiri watu then wakawa mabosi zetu, tunachokiburi cha baraka za Mungu katika utafutaji,tunachokiburi cha umoja kama walipa kodi na tunazo kura kama wananchi. Tuanze sasa kujitambua, tudai haki yetu ya kulindwa katika ulipaji kodi na kuheshimiwa na waajiriwa wetu.

Tuache ulimbukeni wakuogopa magari ambayo tumenunua sisi, tuwasimamie waajiriwa hawa waboreshe mazingira ya kazi. Hakuna mfanyabiashara atafukuzwa amekunywa bia ngapi na serikali ila waajiriwa wa serikali watahesabiana vizibo na kuwajibishana kwa sasa hawana ziada.
Mwenye faida ya hivyo ana akili si mpumbavu kama wewe. Nenda kajisaidie haja kubwa ulale. Unaota mambo ya kipumbavu. Huwezi kuta wenge kupata faida hata nusu ya ukiotacho wanaandika upuuzi kama huu.
 
Hakuna mwenye mamlaka anayempangia mwenye pesa namna ya kuishi ...akina bakharesa, mo, Rostam wameachana na Mamlaka zote wameamua kutafuta fedha
Manji wa Yanga aliishia wapi? Mo alifichwa siku kadhaa na hakutakiwa kuropoka na aliufya kinyaa Hadi Leo.

Wewe ni nani Hadi uitishe Mamlaka? Kiufupi unapangiwa namna ya kuishi bila kujalisha unataka au hutaki
 
Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za watoto wao.

Kwanini wale mliowaajiri waishi kama wafalme wakati hawana shengeli kama sisi? Tuamke sasa tuache kutembelea mabasi tupande ndege....tuamke sasa tuache kupambana na daladala tununue magari na twende nayo kazini,,,tuamke sasa tuache kula kimaskini tule kitajiri....nk

Hatuwezi kuwaajiri watu then wakawa mabosi zetu, tunachokiburi cha baraka za Mungu katika utafutaji,tunachokiburi cha umoja kama walipa kodi na tunazo kura kama wananchi. Tuanze sasa kujitambua, tudai haki yetu ya kulindwa katika ulipaji kodi na kuheshimiwa na waajiriwa wetu.

Tuache ulimbukeni wakuogopa magari ambayo tumenunua sisi, tuwasimamie waajiriwa hawa waboreshe mazingira ya kazi. Hakuna mfanyabiashara atafukuzwa amekunywa bia ngapi na serikali ila waajiriwa wa serikali watahesabiana vizibo na kuwajibishana kwa sasa hawana ziada.
kaka, je hizo fedha unazodai ninyi wafanya biashara mnawapa hao viongozi wa serikali ni hisani kama sadaka tu au mnalazimika?
 
Mamlaka ni zaidi ya pesa.
Kama mamlaka ni zaidi ya pesa jiulize kwanini watu wanaacha mamlaka wanakwenda kutafuta fedha?

Trump alianza kutafuta fedha ndipo akatafuta mamlaka maana alifahamu kwamba hawezi kuongoza America akiwa Maskini.

Huku kwetu tunataka kujenga tabia ya maskini wawe na Mamlaka. Kumbuka maskini hana chakupoteza ndiyo maana ukimpa maskini mamlaka lazima apambane na wenye fedha wawe kama yeye.

Viongozi wengi maskini na wasiofahamu nafasi ya biashara wanapambana wafanyabiashara wawe maskini kama unavyofikiri wewe.

Tukiamua matajiri ndio wawe na Mamlaka itawafanya maskini wengi kupambana wawe matajiri; kinyume chake tukiamua maskini wengi wawe viongozi tutawafanya maskini waache kufanya kazi wawe matajiri wakitegemea kwa umaskini wao watawaongoza wenye fedha.

Maeneo yote yanayoongozwa na maskini yamebaki kuwa maskini.....
 
Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za watoto wao.

Kwanini wale mliowaajiri waishi kama wafalme wakati hawana shengeli kama sisi? Tuamke sasa tuache kutembelea mabasi tupande ndege....tuamke sasa tuache kupambana na daladala tununue magari na twende nayo kazini,,,tuamke sasa tuache kula kimaskini tule kitajiri....nk

Hatuwezi kuwaajiri watu then wakawa mabosi zetu, tunachokiburi cha baraka za Mungu katika utafutaji,tunachokiburi cha umoja kama walipa kodi na tunazo kura kama wananchi. Tuanze sasa kujitambua, tudai haki yetu ya kulindwa katika ulipaji kodi na kuheshimiwa na waajiriwa wetu.

Tuache ulimbukeni wakuogopa magari ambayo tumenunua sisi, tuwasimamie waajiriwa hawa waboreshe mazingira ya kazi. Hakuna mfanyabiashara atafukuzwa amekunywa bia ngapi na serikali ila waajiriwa wa serikali watahesabiana vizibo na kuwajibishana kwa sasa hawana ziada.
It's a free country not a free world
 
Back
Top Bottom