Faida yangu kibiashara kwa siku nane inaweza kumlipa Mkuu wa Wilaya mshahara; anapata wapi nguvu yakinifokea?

Manji wa Yanga aliishia wapi? Mo alifichwa siku kadhaa na hakutakiwa kuropoka na aliufya kinyaa Hadi Leo.

Wewe ni nani Hadi uitishe Mamlaka? Kiufupi unapangiwa namna ya kuishi bila kujalisha unataka au hutaki
Na wewe unaifurahia hiyo hali ya kuineana?
 
Nilichogundua nabishana na watu wanaoona uchumi katika macho ya JPM na kundi lao. Niwaulize , kwanini leo hii nchi yetu imeamua kwenda kuwabembeleza matajiri warudi? Kama mallmlaka ina nguvu kwanini tunarudi kuwabembeleza matajiri waje kuwekeza?
 
nasimama na wafanyabiashara hawa ndo wanaeendesha hii nchi labda na mikopo kutoka nje ambayo nayo ni ela za wafanyabiashara serikali haina kiburi cha kuwavimbia wafanyabiashara ni vile tu tunawachagua watuongoze..
 
Nakubaliana nawewe......ila kuna siku utagundua tajiri awezi kufungwa atalipa faini na atamfukuza kazi aliyempisha faini..
Penda kujifunza kwanza, usilete ujuwaji na ubishi wa kishamba!

Nakuuliza swali: Kati ya serikali (mamlaka) (dola) na wafanyabiashara nani ana nguvu ya kweli?Nani mwenye fedha kumzidi mwenzake?

Huko duniani kukoje? Tajiri anaweza kuivimbia serikali?

Where Is Alibaba Founder Jack Ma? What the Saga of One of the World’s Richest Men Reveals About China Under Xi Jinping​



On Nov. 2, Ma was summoned by Chinese authorities for questioning. The next day, the $37 billion IPO of Alibaba’s fintech arm Ant Financial—touted as a record-breaking offering—was nixed by China’s securities watchdog despite it earlier having received a green light. By late December, regulators had instructed Ant Group to restructure its operations to adhere to new anti-monopoly rules, shaving billions off its valuation.


The Yukos Case: An Old Russian Wrong Keeps Haunting President Putin​



Mikhail Khodorkovsky, the oligarch who controlled Yukos and who was once Russia’s richest man, fell into the second category: he did not quite abide by the new Kremlin rules, openly criticised Putin and began funding opposition parties. Retribution was swift. Arrested at an airport in Siberia in 2003, Khodorkovsky received a nine-year jail term on charges of embezzlement and tax fraud



Bongo je?

Manji mahakamani Kisutu​


  • Manji amefikishwa mahakamani leo ikiwa ni siku ya nane tangu alipojisalimisha na kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, alopoitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda ili kuhojiwa.



Mwisho wake:

TRA shuts Manji firm over Sh12bn tax bill​




TRA statement said the offices have been put under the lock for the company failure to pay taxes to TRA to a tune of Sh12.2 billion. The Taxpayer Education director at TRA, Mr Richard Kayombo, told The Citizen that the moves comes after the authority tried to communicate severally with the office to no avail


 
Hakuna mwenye mamlaka anayempangia mwenye pesa namna ya kuishi ...akina bakharesa, mo, Rostam wameachana na Mamlaka zote wameamua kutafuta fedha
Huna unachojua! Manji na mahela yale alijambishwa mpaka basi! Unacheza na mamlaka wewe!
 
Back
Top Bottom