iam_cipher
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 120
- 69
Ahaa
copy that
copy that
Japo siitumii sana Python sana, ila ni lugha nzuri sana maana ni multi-purpose, unaweza ukaitumia katika maeneo mengi sana bila kuhangaika kutafuta lugha nyingine ya kuunga unga.
Huwa najutia kwanini sikuanza kujifunza programming kwa kutumia Python kipindi ambacho nilikua na muda na fursa ya kutosha, leo hii nimezongwa na miradi yaani muda wa kujifunza unakua adimu inabidi kujibanza kiaina.
Kwa sasa Python naitumia kwenye ERP ya Odoo, ila ni lugha nzuri sana ukikaa ujifunze bila kuharakisha, nenda nayo ukiwa na nia ya kuifahamu kiundani, jipatie mazoezi ya kutosha.