MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 573
- 573
Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo ilishawahi kunitokea yaani nilifanya kazi kwenye mazingira magumu sana, na ni rahisi sana kuonekana hujui kitu (wanapenda fancy features za kusadikika).
mfano, kuna project tulikua tunafanya halafu akawepo implementer ambae anawasiliana na users na pia na management, aisee ni balaa, mtu anafikia hatua anakwambia code ni kama kuandaa document tu!
sasa kubwa kuliko unakuta IT personel ambaye labda mpo chini yake hajui code, asee wanakua na inferiority complex sana, hii inapelekeankua negative tuu, mara kuitwa wazee wa copy and pasting😆😆, mara programmer wa bongo hamna kitu, yani basi tu.
kama umewahi ku experience hali kama hii tujuze ilikuaje