Eleza changamoto unazokutananazo ukiwa kama 'Programmer' mpya unayejifunza mwenyewe

Msaada kidogo wakuu,
Kati ya inline css,internal css na external css ipi ni bora zaidi katika styling ya website na kwanini.
 
Siku zote tumia external, inakua rahisi kwa maintenance, maana unakua na sehemu moja ya kufuata styles zako, lakini ukiziweka inline yaani unahangaika kufuata files moja moja.
Inahitaji kutumia akili namna gani ya kupanga styles zako kwa site ili hata ukimpokeza developer/designer mwingine hatahangaika, au hata wewe ukihitajika kufanya mabadiliko baada ya miezi sita hautapata tabu.
Na hii ipo hata kwa development, lazima ujitahidi kutenganisha codes.
 
MK254 unapoteaga Sana kwenye hili jukwaa why?
 
Mod niliwaomba watufungulie kitengo cha systems developers, maana nyuzi huwa zimechanganywa unakuta huyu anaomba namna ya ku-root simu, huyu king'amuzi sijui cha DSTV, yaani unahangaika kuchambua nyuzi ukitafuta ye development. Hebu nenda kule Nairaland ambapo mimi pia mchangiaji, utaona wanavyopanga nyuzi zao.
Cheki hii picha walivyo... cc: Maxence Melo

1582357897819.png
 
Siku zote tumia external, inakua rahisi kwa maintenance, maana unakua na sehemu moja ya kufuata styles zako, lakini ukiziweka inline yaani unahangaika kufuata files moja moja.
Inahitaji kutumia akili namna gani ya kupanga styles zako kwa site ili hata ukimpokeza developer/designer mwingine hatahangaika, au hata wewe ukihitajika kufanya mabadiliko baada ya miezi sita hautapata tabu.
Na hii ipo hata kwa development, lazima ujitahidi kutenganisha codes.

I will assume that the web developer will use more than one external .css files. Depending on their number, external CSS will lead to one or more HTTP requests. Normally, before a browser starts to display web content, it requires instructions in the form of HTML and CSS. Unless all external stylesheets have been downloaded and processed, content rendering won't happen. This means external stylesheets result into many HTTP requests, and hence a visitor who makes a request through a browser will have to wait longer before he/she sees the content. The delay increases with the size of css files or other external resources.

Speed/performance (time to first byte and time to start rendering) matters in today's web development. Therefore, one of the best practices is to inline and minify CSS and other external resources to minimize delivery time and the number of required requests as much as possible.
 
Change the game with Open Discussion Forums: Computer Science, IT, Hardware & Software

Mod niliwaomba watufungulie kitengo cha systems developers, maana nyuzi huwa zimechanganywa unakuta huyu anaomba namna ya ku-root simu, huyu king'amuzi sijui cha DSTV, yaani unahangaika kuchambua nyuzi ukitafuta ye development. Hebu nenda kule Nairaland ambapo mimi pia mchangiaji, utaona wanavyopanga nyuzi zao.
Cheki hii picha walivyo... cc: Maxence Melo

View attachment 1365862
 
You should learn how to balance between code maintainability and system performance, if working on a simple web system with just a few pages, then makes sense to define your inline styles, but if handling a gigantic system that's scaling rapidly, you must be very sensitive to how your styles and scripts are planned.

Issue of performance is no-longer a major concern since there are minifiers, they actually work best when there is a disparate or clear separation of code type. Meaning, for minifiers to be useful, you should have CSS minifiers handling CSS files only, as well as HTML and JavaScript minifiers each working separately.
 
Maxence Melo, Maxence Melo, Maxence Melo ?
Unaonaje hii idea hapa, embu ifanyie kazi itasaidia sana kwenye maswala ya uchangiaji.
 
You should learn how to balance between code maintainability and system performance, if working on a simple web system with just a few pages, then makes sense to define your inline styles, but if handling a gigantic system that's scaling rapidly, you must be very sensitive to how your styles and scripts are planned.

Issue of performance is no-longer a major concern since there are minifiers, they actually work best when there is a disparate or clear separation of code type. Meaning, for minifiers to be useful, you should have CSS minifiers handling CSS files only, as well as HTML and JavaScript minifiers each working separately.

"Therefore, one of the best practices is to inline and minify CSS and other external resources to minimize delivery time and the number of required requests as much as possible."

As much as possible implies there is a limit in doing what I recommended. It means, he will try to inline as much as he can while taking care of other best practices. I also mentioned minifying!

"Kwa nini umemwambia "Siku zote tumia external"? Bila kujua kama website yake ni complex au sio?
 
I prefer external CSS hata kama ni simple website
- Broswer CSS cache, fahamu ukitumia external css file inakua cached na browser
- Sababu kuu ya CSS kubuniwa, ilikua kwa ajili ya kutenganisha HTML na styling, sasa ukizoea kuzichanganya unarudi kule kule
- Media queries zitakupa usumbufu sana ukitegemea inline
- Site yako ukija kutaka kuifanya iwe international na support for rtl itakupa matatizo kwa baadhi ya hizo inlines
- Huwa napata usumbufu ninapojikuta imenilazimu kutumia !important ili niweze override an inline

Hizo ni baadhi tu ya sababu, japo zipo nyingi
 
Kwa mawazo yako inlining is a wrong idea? hata kama CSS ina lines 2 na inaweza kuwa placed somewhere within HTML conveniently?
 
Hapa sasa upo kisiasa zaidi, of-course sio mbaya kwa line zako hizo mbili, ila pia inategemea na lines zenyewe zinahusu nini.
Kwa mfano hebu nambie ikitokea unataka kubadilisha website yako iwe inatumika na rtl pia, hii line hapa chini utaicheza vipi

<img src="logo.png" style="float:right" />
 
Mimi nipo kisiasa kwa kuuliza inline ni wrong? How? Au nikuulize kwa namna nyingine, ni zipi faida za kuinline? Did I say you have to inline everything?
 
Haya poa poa uko sahihi, let's agree to disagree.
 
Hapa sasa upo kisiasa zaidi, of-course sio mbaya kwa line zako hizo mbili, ila pia inategemea na lines zenyewe zinahusu nini.
Kwa mfano hebu nambie ikitokea unataka kubadilisha website yako iwe inatumika na rtl pia, hii line hapa chini utaicheza vipi

<img src="logo.png" style="float:right" />
Hapa tulikuwa tunashauri mtu, je, amesema kuna muda web yake itatumika na rtl? Achilia mbali anadevelop web kwa ajili ya nini, na itakuwa complex au rahisi kiasi gani? Kwa hiyo tuhitimishe kuwa Google developers, StackOverflow na global guru wengine kama wanasisitiza inlining katika mazingira fulani watakuwa wrong?

Is caching needed in every case? Vipi mtu anayeupdate contents zake kila siku na hataki customers wakutane na contents za zamani?
 
Haya poa poa uko sahihi, let's agree to disagree.
Usiseme nipo sahihi, nataka kufahamu. Unaweza kuconclude kuwa inline ni bs idea. Usiache vitu havieleweki, labda mimi au wewe au sote tukapotosha wasomaji wengine.
 
Back
Top Bottom