iam_cipher
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 120
- 69
sir...
language gan we ni fundi?
language gan we ni fundi?
Siku zote tumia external, inakua rahisi kwa maintenance, maana unakua na sehemu moja ya kufuata styles zako, lakini ukiziweka inline yaani unahangaika kufuata files moja moja.
Inahitaji kutumia akili namna gani ya kupanga styles zako kwa site ili hata ukimpokeza developer/designer mwingine hatahangaika, au hata wewe ukihitajika kufanya mabadiliko baada ya miezi sita hautapata tabu.
Na hii ipo hata kwa development, lazima ujitahidi kutenganisha codes.