Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 7,080
- 13,054
Ndoa za siku hizi miyeyusho Sana Bora kubaki mwenyewe tu.
Kwani kuna division of labour kwamba chores ni za kike tu!? Is it a must kwamba chores za kike zifanywe na wanawake tu?! Kitu cha msingi ni mtu kucheza part yake pasipo kujisahau! Kuna Wanaume wengi wa kiafrika wanafanya chores za kike bila tatizo.Kuna mwanaume tena proper African man anaweza "chores za kike" kwa muda mrefu bila shida? Mkawa na karatiba kabisa?
Malezi ya watoto na home management ni chore ya kike kuliko ya kiume, nature imekua hivyo miaka nenda miaka rudi.Kwani kuna division of labour kwamba chores ni za kike tu!? Is it a must kwamba chores za kike zifanywe na wanawake tu?! Kitu cha msingi ni mtu kucheza part yake pasipo kujisahau! Kuna Wanaume wengi wa kiafrika wanafanya chores za kike bila tatizo.