Dizasta vina

Vinci Dayot Upamecano

Hivi unajua kuwa, kuna watu hawajui kama Hatia VI tayari inapatikana kwenye platform(s) zote kwasasa.

Mbali na hilo, pia kuna watu hadi leo hii bado hawajaiskiliza ngoma nzuri sana za Dizasta Vina kama;
-Achia jala FT Kaa la Moto
-Wachezaji wa timu
-A father figure
-Money etc...

Lakini sawa, kuna comment moja ya Dr. Nimeiona hapo anasema "Dizasta mwenyewe anajua kuwa nyimbo zake ni kwaajili ya watu flani (ametumia neno Brilliant)". Kama bado huja'subscribe nenda sasa.

Umetisha sana ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Umenifanya nimuwashe jbl mda huu nile ngoma aisee
 
Huyu mwamba sio poa..
Yaaani acha mkuu..
Black maradona
Akiwa na mwanae ringle beats
Kama hutojal tutashea playlist manake umenirudisha kwa mood yangu hapa nimeamua kuwaamsha hawa wamarekani wanikoshe
 

Attachments

  • Screenshot_2024-04-22-00-45-16-80_d28bdeacc08fea81d2a020044faa39aa.jpg
    Screenshot_2024-04-22-00-45-16-80_d28bdeacc08fea81d2a020044faa39aa.jpg
    275 KB · Views: 2
Sista sista kadata
Mother am sorry kwani mi ndo chanzo
Kilichofanya mpaka sister akatae kusoma bodi mwanzo mi niliona ni Utoto alipodai Kuwa ananiona kwenye ndoto niwe mkweli sister mashalaa kaumbika ula Kuwaza nipige au niache ni upuvambavu ye ni sister mi kaka yake ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom