Dizasta vina

George Betram

β€œFuvu limeshiba mautundu kwenye kichwa
Niko UNDERGROUND na huku ndio mitutu inakofichwa”
Nobody is safe 3

Nimekupata mkongwe!

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Vinci Dayot Upamecano

Hivi unajua kuwa, kuna watu hawajui kama Hatia VI tayari inapatikana kwenye platform(s) zote kwasasa.

Mbali na hilo, pia kuna watu hadi leo hii bado hawajaiskiliza ngoma nzuri sana za Dizasta Vina kama;
-Achia jala FT Kaa la Moto
-Wachezaji wa timu
-A father figure
-Money etc...

Lakini sawa, kuna comment moja ya Dr. Nimeiona hapo anasema "Dizasta mwenyewe anajua kuwa nyimbo zake ni kwaajili ya watu flani (ametumia neno Brilliant)". Kama bado huja'subscribe nenda sasa.

Umetisha sana πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Lycaon pictus

NilinunuaThe Verteller. Beats na Flow zinakufanya urelax kama unameditate hivi. Ngoja weekend ninunue hii. Nasubiri kwa hamu kusikiliza A Confession of a mad father, No body is Safe VI na hiyo aliyo mshirikisha Baraka Da Prince.

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚βœ…βœ…πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Extrovert

Disasta Vina is a far most concuous rapper kwa wakati wa sasa. Hamna mtu mwenye style ya hardcore anafanya kama yeye.
βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…
 
DungaMawe

kama akili yako ni waluwalu huwezi muelewa jamaa, ndio maana ngomazake vijana wa mapiano hawamuelewi.

βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…
 
George Betram said:
Dizasta ana uKiranga fulani hivi kwa head.

gabriel Heinze
Hahahhahaha hapana sema jamaa ni akil kubwa, na wa hv huwa tunawaona wanzingua kumbe ndo kama clouds wanafungua dunia kuwa unachotaka

βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…
 
The term Black Madonna
Tends to refer to statues or paintings in Western Christendom of the Blessed Virgin Mary and the Infant Jesus, where both figures are depicted with dark skin.

[1] Examples of the Black Madonna can be found both in Catholic and Orthodox countries.
Mzee wa kazi, sio kwamba umechanganya kati ya Black Maradona na Black Madonna?
 
Nimeona mkongwe, asante kwa tag!
Lakini uchambuzi wako unaufanya kwa lugha ya kiingereza, wakati sehemu kubwa ya mistari uliyoifafanua Dizasta ametumia lugha ya Kiswahili, kwanini usingetumia Kiswahili tu?
Lugha ya Kiswahili itasaidia ujumbe kufikia watu wengi zaidi.
Sawa mkuu tafanya hivo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom