Aliyeelewa mistari ya Dizasta Vina kwenye Underrated remix ya Stamina atupe somo

Wakuu kwema?

Alielewa mistari ya Dizasta Vina kwenye Underrated remix ya Stamina. Atugee somo kidogo. Mana daah..
Twende kwenye Mada moja kwa moja mkuu, Kwanza kabla ya kuelewa mistari ya Dizasta vina inabidi tuelewe maana ya wimbo wenyewe

Wimbo unaitwa Underrated, ikiwa na maana kuwa, ni mtu au kitu ambacho hakipati Heshima inayostahili kulingana na uwezo wake

So kwenye wimbo tuaona kuwa lengo ni kutuaminisha kuwa hao wasanii walioshirikiana kwenye wimbo, ni wasanii ambao Wana uwezo mkubwa ila wanachukuliwa POA. Twende kwenye mistari ya Vina sasa

1.I'm in survival mode / yupo katika kipindi kigumu cha stress, inawezekana sababu ni hiyo kuchukuliwa POA

2.Man I'm desperate / amepoteza matumaini yote ni either kutokana na uwezo wake na kile anachokipata kwenye jamii

3.Kama Hand grenade, touch me and I'll escalate / Anasema amekuwa kama Bomu la mkono, mguse akulipukie, nadhani tunajua watu ambao waga wanahisi wamepoteza kila kitu walivo teyari kuanzisha Shari

4.Kama ubishi wa mapatner kwenye long ass bad marriage / Hapa anaongelea theme ya misuko suko katika kitabu kinachotakiwa Bad marriage

5.Nafungua map, wananitreat kama special case,nachana km nimevumbua Rap / hapa anatamba kuonesha uwezo wake kama ilivo kwa Maraper wengine wafanyavyo

6.I can school you, cause I'm like Wenger / hapo juu tumetoka kuona anajisifia kuwa amefungua Rap,Wana mtreat kama special case,anachana kama amevumbua Rap

Sasa hapa ni muendelezo wa hapo juu, anasema naweza nikakufundisha kwa sababu Mimi ni kama Wenger, point ni kubwa underrated na Arsene Wenger ni kocha anaechukuliwa poa sana Duniani kutokana na kutoshinda mataji mengi, ila ni bonge la Kocha

7.Acha wafosi Mikataba bila Stakabadhi, i belong to the upper class / Anamaanisha kuna watu/kampuni zitakuwa zinajaribu kumpa mikataba bila Stakabadhi, yani bila kutanguliza malipo, yeye ni msanii wa hadhi ya juu sana kwahiyo sio rahisi

8.Since 2012 I've been shaping the game,kaeni na Tuzo na Cash and put respect on my Name

Anasema tangu mwaka 2012 amekuwa akiirekebisha game ya hip-hop, kwani vina ndo msanii ambae bado anarap kwa kutoa ujumbe kama wasanii wa zamani ilhali saizi wasanii wengi wamechange

Anamalizia kwa kusema Nyie kaeni na tuzo na Hela ila wekeni Heshima kwenye Jina lake, kwahiyo hapo unaona anaoesha kwamba kwake pesa na tuzo sio kila kitu ispokuwa HESHIMA

NB. Haya ni mawazo yangu tu Mkuu, kwahiyo yanaweza yasiwe sahii kabisa au yasiwe sahihi kabisa, maana kumuelewa Dizasta waga ni ngumu
 
Wimbo ulikuwa na promooooo weeeh,ila kuja kutoka mbayaaaaaa..pumbavu zao..hivi mr christmass ya izzo mwaka huu vp?
 
umetisha
 
Wimbo mbovu.. nilitegemea ngoma ingekuwa ndefu kidogo lakini kwa dak4 wamevurunda.. Haiwezekana ngoma yenye rappers zaid ya5 halafu wakatumia dak4 kwa wimbo wenye chorus ndani yake.. Utani wa stamina na mistari yake ya kuunga unga
 
Back
Top Bottom