Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Niliwahi kuuliza taa ya mbele ya Discovery 4 nikaambiwa TSH 750,000
Ulizia na bei ya Taa ya mbele ya Subaru Forester SG ya 2006 au 2007 ulete mrejesho.
Kama humiliki hizi gari acha kutisha wengine. Mim namiliki RR na nliipata ikiwa na miles nyingi kidogo. Yes kuna changamoto ambazo pia nlikuwa nikizipata kwenye Subaru na VW as well.

Comfortability haijawahi kuwa cheap.
 
Mkuu ungetuelezea changamoto za Subaru ungetuokoa wengi. Asante
 
Wewe unazijua LR kuliko waingereza wenyewe?

1000111994.jpg
 
Land Rover family yote. From Disco, Range, Freelander you name it zote ni the most unreliable. Sio bongo tu ni worldwide. Google is free.
Hizi LR 110 za toka 1998 mpaka 2002 bado zipo sokoni mnataka kutumia Cat mashine sasa nazo pia hydronic pump ikisumbua ina mtihani kwenye bei kuhusu gari ni kwamba kutokana na kodi kuwa kubwa Watanzania wengi tunanunua gari ishakua chakavu ukiikuta na uchakavu wake kila muda inashinda gereji basi tunashikana masikio kuwa hii gari ni mbovu sana wakati sio kweli mimi sio muhanga wa kutumia magari kwa kusikiliza watu nikienda SA naangalia iliyo karibu kutengenezwa nanunua hasa kwa hizi brand familia na kwetu...
 
Vitu vingine kutishana tu, LR 3 ukiwa na laki 3 unafanya service,gari nzuri,speed kubwa,gari nzito inatulia barabarani,ukikuta cruze control inafanya kazi utafurahi zaidi.Sasa hivi mafundi wameongezeka tofauti na zamani,hata spare ni nyingi....
Wabongo waongo sana mimi nilikua na disco 3 mwaka 2012 ilikua ya 2005 maisha yalienda mpaka niliiuza ukiwasikiliza wabongo hautafanya kitu unakuta mtu kanunua gari imempita umri wa kutengenezwa harafu anataka matatizo ya hiyo gari yawe ya Jumla wakati sio kweli..Disco 4 ina tatizo gani kama umeipata kutoka kwa mtunzaji mzuri wa gari na Nchi iliyotoka pia..
 
Ulizia na bei ya Taa ya mbele ya Subaru Forester SG ya 2006 au 2007 ulete mrejesho.
Kama humiliki hizi gari acha kutisha wengine. Mim namiliki RR na nliipata ikiwa na miles nyingi kidogo. Yes kuna changamoto ambazo pia nlikuwa nikizipata kwenye Subaru na VW as well.

Comfortability haijawahi kuwa cheap.
Shocks za Subaru ya 2012 nilinunua SA za mteja kutoka Subaru mpya ilikua 2.8m za kitanzania zote nne...wakati gari zingine napata Nuggets pale hata kwa Tsh 500,000 zote mpya hizo au Bumper to bumper..baadhi ya Subaru parts zake zipo juu kushinda Mercedes benz si bora nikae kwenye Benz tu..
 
Dealer wa Land rover Sauz (Johannesburg) alinionya kununua Land rover kama hela yangu ya mawazo.
Daah hautakuja kuendesha gari unalolipenda maana mimi nimeendesha Disco 3 mwaka 2012 ilikua ya 2005 mwaka huu 2024 unazungumzia kushauriwa kuhusu Disco wakati zimekuja gari tofauti nyingi tu na wengine wanaenda nazo hizo na hizo ninyi kuja kushauliwa hizi za 2024 ni huko 2040...
 
Hela yangu ya mawazo sitak stress
 
Ulizia na bei ya Taa ya mbele ya Subaru Forester SG ya 2006 au 2007 ulete mrejesho.
Kama humiliki hizi gari acha kutisha wengine. Mim namiliki RR na nliipata ikiwa na miles nyingi kidogo. Yes kuna changamoto ambazo pia nlikuwa nikizipata kwenye Subaru na VW as well.

Comfortability haijawahi kuwa cheap.
Taa moja ya Mazda CX-5 ni milioni 2. Ina maana set ya taa ni milioni 4.
 
Back
Top Bottom