Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,091
8,732
RangeRoverCoupe-TopArt.jpg
model_l462_k24_a-le7_a-std-wb_gl.jpg
images (22).jpeg
images (23).jpeg
images (19).jpeg


Hizi gari watu wamezishobokea kindezi.

Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
 
Niliwahi sikia sababu kubwa ya hii kutu ni chumvi inayomwagwa huko wakati wa baridi ili kuizuia barafu isigande barabarani, jee hili lina ukweli?
Ni kweli mkuu lakini kuanzia matolea mapya 2020 na kuendelea nadhani walibadili now wanakupa lifetime warrant kwa ajili ya kutu. Dawa ya hizi gari usikae nayo zaidi ya miaka 6 au kupitisha ile warrant yao ya 80,000km. Uzuri wa kwa Biden unatrade-in unavyotaka. Kama mdau mmoja alivyosema hapo juu matengenezo ndio mtihani na lazima uende kwa dealer wao, kubadili oil tu zaidi ya dollar 300:D na lazima uweke Castrol
 
Niliwahi sikia sababu kubwa ya hii kutu ni chumvi inayomwagwa huko wakati wa baridi ili kuizuia barafu isigande barabarani, jee hili lina ukweli?
Ni sahihi kabisaa pia kutokana na mazingira Yao ya kuzungukwa na bahari inasababisha mvuke WA chumvi ya baharini kusambaa kwenye magari na vitu vingine.
Hata hiyo barafu inakuwa na chumvi chumvi ndiyo maana inakuwa rahisi kupenya kwenye engine na kisababaisha uchakavu mapema
 
Back
Top Bottom