Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Hizi ni porojo tu. Gari ya Mwingereza huwa na garantee ya miaka 12 bila kutu. Ukinunua gari miaka 20 (ambazo ndizo wengi wetu tunanunua) unategemea nini?.
Discovery 4 zilizopo nyingi Tanzania ni zile za 2009 - 2015 alafu piga hesabu Zina miaka mingapi Toka zimetengenezwa? Hiyo guarantee inakuwa IPO chini ya mmiliki wa Kwanza Kwa hiyo miaka 12 na baada hapo ndipo anauza.
Pia jiulize kwanini discovery zinazotokea Australia hazina KUTU
 
Itabidi tununue za South Africa tu. Na uzuri wa hizi za South wanasema ni nyepesi hata kwenye matumizi ya mafuta ni rafiki haziumizi kama za UK.
 
Nimesema humu repeatedly LR is the most unreliable brand in the motor world. Hii ni fact worldwide ila wabongo wanajidai vichwa ngumu. Google is free, go argue with it.

Inategemea na edition ipi. Si LR zote.
Hizi luxury brands ndio ziko prone
 
Back
Top Bottom