Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,880
Wakuu wapenzi wa Physics ni matumaini yangu hamjambo.
Niende moja kwa moja kwenye swali:-
Hivi ikitokea mtu akatoboa tundu katika ya dunia, tundu hilo litobolewe hapo ulipo na lipitie katikati ya dunia (the core) na litokeze upande wa pili wa dunia, tundu hilo liwe kubwa la kuweza kupenya kitu kama jiwe, chuma nk, chenye uzito wa kama kg 150, je kitu hicho kikitumbukizwa kwenye hilo shimo itakuwa vipi??!!
Nahitaji maelezo ya kisayansi (Physics) kuelezea kitakachotokea kwenye hicho kitu.
Pse welcome.