Jamani samahanini hivi namba za simu ukiweka pale kwenye address si inatosha au mpaka niziweke ndani kwenye barua ? Pia cover letter iliyoandikwa kwa kingereza si haina shida yoyote ?

Disclaimer

Mnisamehe I might sound lazier kufikiri ila majibu yenu yanahitajika
 
Wakuu,kwa wenye vyeti vyote viwili cha form 4 na 6 kipi ni better kutumika kwenye hizi ajira!!?
 
Back
Top Bottom