Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,545
1,419
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne.

1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
b) Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2018 hadi 2023.
c) Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
d) Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I – IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Point) 26 hadi 28.
e) Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III)
f) Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
g) Awe na urefu usiopunguwa futi tano na inchi nane (5’8”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.
h) Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
i) Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza.
j) Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.
k) Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto.
l) Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya.
m) Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.
n) Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.
o) Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.
p) Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye usaili.
q) Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
r) Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
s) Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8), Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.

2. Utaratibu wa kutuma Maombi
1. Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA.

2. Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL) unaopatikana kwenye tovuti ya Jeshi la Polisi www.polisi.go.tz

3. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16/05/2024

Imetolewa na:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
S.L.P 961
DODOMA
09/05/2024

FANI ZINAZOTAKIWA KWA KILA NGAZI YA ELIMU
S/N FANI

DEGREE (SHAHADA)
1 AIRCRAFT INSURANCE
2 ANAESTHESIA
3 ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION
4 ANIMAL SCIENCE/NUTRITION
5 ARCHITECTURE (LANDSCAPE,TECHNOLOGY AND INTERIOR
DESIGN)
6 AUTOMOBILE ENGINEERING
7 BIOTECHNOLOGY AND LABORATORY SCIENCE
8 CHEMISTRY
9 CIVIL ENGENEERING
10 COMPUTER ENGINEERING
11 COMPUTER INFORMATION SYSTEM
13 COMPUTER NETWORK AND SECURITY ENGENEERING
14 COMPUTER SCIENCE
15 COMPUTER SYSTEM AND NETWORKING
16 CYBER FORENSIC & CYBER SECURITY
17 DENTAL SURGEON
18 DIVINITY
19 ECONOMICS AND STATISTICS
20 ELECTRICAL ENGINEERING
21 ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING
23 FORENSIC ACCOUNTING
24 FORENSIC ARCHEOLOGY
25 FORENSIC ART
26 FORENSIC DACTYLOGRAPHY
27 FORENSIC ODONTOLOGY
28 FORENSIC SCIENCE
29 HEALTH INFORMATION SYSTEM
30 HUMAN NUTRITION
31 INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY
32 INTERNATIONAL RELATION AND DIPLOMACY
33 ISLAMIC KNOWLEDGE
34 JOURNALISM
35 LABORATORY TECHNOLOGY

JESHI LA POLISI TANZANIA
36 LAND MANAGEMENT AND EVALUATION
37 LAW ENFONCEMENT
38 LEADERSHIP AND MANAGEMENT
39 LIBRARY AND INFORMATION STUDIES
40 LINGUISTICS - ARABIC, CHINESE & PORTUGAL
41 MARINE ENGINEERING
42 MARITIME TRANSPORTATION
43 MASS COMMUNICATION
44 MASTER FISHERMAN
45 MECHANICAL ENGINEERING
46 MECHATRONICS ENGINEERING
47 MEDICAL DOCTOR
48 MOLECULAR BIOLOGY AND BIOTECHNOLOGY
49 MUSIC
50 NAVIGATION
51 NURSING
52 PATHOLOGIST
53 PHARMACY
54 PHILOSOPHY
55 PHYSICAL EDUCATION
56 PHYSICS
57 PHYSIOTHERAPY
58 PILOT(CPL LICENCE)
59 POLITICAL SCIENCE
60 PSYCHIATRIST
61 PUBLIC ADMINISTRATION
62 PUBLIC RELATION
63 QUANTITY SURVEYOR
64 RADIOLOGY
65 REAL ESTATE
66 RECORD AND ARCHIVES MANAGEMENT
67 SECRETARIAL
68 SIGN LANGUAGE
69 SOFTWARE ENGENEERING
70 SOUND ENGINEERING
71 SURVEYOR
72 TRANSLATION AND INTERPRETATION
73 TRANSPORT AND LOGISTICS
74 VERTENARY LABOLATORY

DIPLOMA (STASHAHADA)
1 ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION
2 ARCHITECTUREVETERINARY
3 ASSISTANT MEDICAL OFFICER ANAESTHESIA
4 ASSISTANT NURSING OFFICER
5 AUTO ELECTRICAL
6 AUTOMOBILE ENGINEERING
7 BIOMEDICAL ENGINEERING
8 BOAT BUILDING
9 BOAT SKIPPER
10 CARPENTRY AND JOINERY
11 CIVIL ENGENEERING
12 CLINICAL OFFICER
13 CLINICAL OFFICER ANAESTHESIA
14 COMPUTER ENGENEERING
15 COMPUTER INFORMATION SYSTEM
17 COUNSELING AND PSYCHOLOGY
18 CYBER FORENSIC AND CYBER SECURITY
19 DENTAL
20 DIGITAL JOURNALISM
21 DIVINITY
22 EDUCATION WITH SPECIAL NEEDS
23 ELECTRONIC AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING
24 FLIGHT OPERATION
25 FORENSIC ART
26 GRAPHIC DESIGNER
27 HEALTH INFORMATION SYSTEM
28 HOTEL MANAGEMENT
29 INDUSTRIAL ELECTRICAL
30 INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY
31 ISLAMIC KNOWLEDGE
32 LAND MANAGEMENT AND EVALUATION
33 LAND SURVEYOR
34 LINGUISTICS
35 MARINE ENGINEERING
36 MASTER FISHERMAN
37 MECHANICAL ENGINEERING
38 MECHATRONICS ENGINEERING
39 MEDICAL LABARATORY TECHNICIAN
40 MULTIMEDIA AND MASS COMMUNICATION
41 MUSIC
42 NAVIGATION
43 NETWORK ENGINEERING
44 NURSING
45 NURSING ANAESTHESIA
46 OPTOMETRIST
47 PHARMACY
48 PHOTO JOURNALISM
49 PHYSICAL EDUCATION
50 PHYSIOTHERAPY
51 PILOT(CPL LICENCE)
52 PLUMBING
53 RADIOLOGY
54 RECORD AND ARCHIVES MANAGEMENT
55 SEAMANSHIP
56 SECRETARIAL
57 SECRETARIAL
58 SIGN LANGUAGE
59 SOFTWARE ENGENEERING
60 SOUND ENGINEERING
61 SPORTS AND MANAGEMENT ADMINISTRATION
62 THEATRE AND PERFORMING ARTS
63 TRANSLATION AND INTERPRETATION
64 TRUCK MECHANICS
65 VEHICLE PROGRAMMER
66 VIDEO AND RADIO PRODUCTION
CERTIFICATE (ASTASHAHADA)
1 AIR CONDITION AND REFRIGERATION
2 ALUMINIUM FITTING & FABRICATION
3 ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION
4 ARCHIEVE & DOCUMENTATION
5 ASSISTANT CLINICAL OFFICER
6 AUTO BODY REPAIR
7 AUTO ELECTRICAL
8 AUTO MOBILE MECHANICS
9 AUTOMOBILE
ENGENEERING
10 AUTOMOTIVE AIR CONDITION TECHNICIAN
11 AUTOMOTIVE ELECTRONICS
12 BOAT PAINTING
13 CABIN CREW LICENCE
14 CAPENTRY & JOINERY
15 CAR INTERIOR DESIGN
16 CLEARING & FORWADING
17 COMPUTER APPLICATION
18 CYBER FORENSIC AND CYBER SECURITY
19 CYBER SECURITY
20 DENTAL ASSISTANT
21 DIVINITY
22 ELECTRICAL INSTALLATION
23 FITTING & TURNER
24 FOOD & BEVERAGE
25 FORENSIC
26 GRAPHIC ARTS AND PRINTING
27 HEALTH INFORMATION SYSTEM
28 HOTEL MANAGEMENT
29 ISLAMIC KNOWLEDGE
30 JOURNALISM WITH DRONE LICENCE
31 LABARATORY TECHNICIAN
32 LINGUISTICS
33 MANDATORY COURSES
34 MARINE ENGINEERING
35 MASONRY & BRICKLAYING
36 MASTERFISHERMAN
37 MECHANICAL ENGINEERING
38 MEDICAL ATTENDANT
39 MEDICAL LABORATORY
40 MEDICAL RECORD
41 MORTAL REWINDING
42 MOTOR CYCLE MECHANICS
43 MOTOR VEHICLE MECHANICS
44 MUSIC AND SOUND PRODUCTION
45 NAVIGATION
46 NURSING
47 PAINTING
48 PAINTING AND SIGN WRITING
49 PHOTOGRAPHY
50 PHYSICAL EDUCATION
51 PILOT(CPL LICENCE)
52 PLUMBING
53 PSV DRIVERS WITH CLASS C1 LICENCE AND ABOVE
54 RADIOLOGY
55 RETING ENGINEERING
56 SCUBA DIVING
57 SEWING MACHINE MAINTANANCE
58 SIGN LANGUAGE
59 SPORTS AND MANAGEMENT ADMINISTRATION
60 STOREKEEPING
61 TAILORING
62 THEATRE AND PERFORMING ARTS
63 TRUCK DRIVERS WITH CLASS E LICENCE
64 TRUCK MECHANICS
65 VEHICLE PROGRAMING
66 WELDING & FABRICATION

Muda wa Uombaji waongezwa: Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

Fungua kiambata hapo chini kinachoeleza jinsi ya kutuma maombi kwenye Mfumo wa Ajira wa Polisi.
 

Attachments

  • TANGAZO-LA-AJIRA-JESHI-LA-POLISI.pdf
    239.3 KB · Views: 5
  • JINSI-YA-KUTUMA-MAOMBI-KWENYE-MFUMO-WA-AJIRA-POLISI.pdf
    3.6 MB · Views: 6
Naomba kujuzwa
Hivi kwa mwenye fani(ex.engineer)ikitokea achague kati ya kwenda Jwtz/jeshi la polisi,which is better kwake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom