CAF yamtema refa aliyekataa goli la Aziz Ki

Dude kubwa la kulilia goli lililokataliwa. Dude kubwa la kushindwa kurudisha goli lililokataliwa, na ni Aziz ki huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kukosa goli la penati na kuudhihirisha ulimwengu wa soka kwamba Uto ni dude kubwa la kulalamikia goli na ni dude kubwa la kufeli
pia dudu la kupiga mtu kono
 
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane ameondolewa kwenye nafasi hiyo huku nafasi yake ikichukuliwa na Aziz Bouh Abdel naye wa Mauritania.

Dahane atakumbukwa kwa maamuzi yake ya utata kwenye mchezo wa robo fainali ya CAFCL kati ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Young Africans Sc ambapo alikataa bao halali la kiungo wa Yanga Stephanie Aziz Ki na kuzuia sintofahamu na mashabiki wa soka barani Afrika.

Aziz Bouh Abdel ndiye Mwamuzi aliyechezesha mechi ya hatua ya makundi kati ya Yanga Sc dhidi ya Al Ahly mnamo Desemba 2, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa kwenye sare ya 1-1.
#KitengeSports

Nb: Yanga ni dude kubwa

View attachment 2967547
Imemtema kwasababu gani?

Au bado mnaweweseka na lile goli.
 
Source ni kitenge
 
Back
Top Bottom