APR Rwanda wanamtaka Aziz Ki wa 1 million usd ($ 1million)

JamesMd

Member
May 2, 2023
81
148
Wiki iliyopita, APR FC🇷🇼 iliuliza kiasi cha fedha ambacho Yanga SC🇹🇿 wanaweza kupokea kwa ajili ya kumuachilia Stephane Aziz Ki🇧🇫 anayecheza eneo la kati, wakajibu kwamba watapokea si chini ya dola milioni moja ($1M) , ambayo ni zaidi ya 1,000 .000.000 Frw (Uliza kwa sarafu ya Rwanda)

So far kuna team kama 8 zote kwa aziz.

1, Wydad, Pirates, Kaizer, Sundowns, Simba, Azam, APR, al ahly,

Screenshot_20240422_231741_Chrome.jpg
 
Aziz ki hawezi kua mjinga kutoka yanga kwenda Apr timu haina hata hype Wala haichezi michuano mikubwa

Ki akiondoka labda aende sundown.... Maana kaizer, Orlando sa hivi hakuna kitu, wydad kashafulia kauza sana wachezaji msimu huu yupo nafasi ya 6 huko club bingwa msimu ujao hachezi, Simba, Apr na azam hao wote ni vichekesho tu
 
Wiki iliyopita, APR FC🇷🇼 iliuliza kiasi cha fedha ambacho Yanga SC🇹🇿 wanaweza kupokea kwa ajili ya kumuachilia Stephane Aziz Ki🇧🇫 anayecheza eneo la kati, wakajibu kwamba watapokea si chini ya dola milioni moja ($1M) , ambayo ni zaidi ya 1,000 .000.000 Frw (Uliza kwa sarafu ya Rwanda)

So far kuna team kama 7 zote kwa aziz.

1, Wydad, Pirates, Kaizer, Sundowns, Simba, Azam, APR.

View attachment 2971397
Wajanja tulioona maajabu katikati ya miguu ya Aziz Ki mechi ya kwanza tu akiwa na Yanga tunatabasamu kwamba tuliiona kesho.

Aziz ni wa kwenda EPL, huku Afrika tunamuonea tu.
 
Katikati ya miguu?😳
 
Wajanja tulioona maajabu katikati ya miguu ya Aziz Ki mechi ya kwanza tu akiwa na Yanga tunatabasamu kwamba tuliiona kesho.

Aziz ni wa kwenda EPL, huku Afrika tunamuonea tu.
Uzito umeongezeka,ule wepesi wa asec haupo
 
APR anatafuta umaarufu na Followers kupitia Aziz Ki na Tanzania kwa ujumla. Hivi kweli leo Simba annaweza kuuliza bei ya MUDAU kweli?
 
Back
Top Bottom