Young Africans yawasilisha Malalamiko yake CAF

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,338
10,004
Klabu ya Yanga imewasilisha malalamiko kwenda CAF kuhusu uwezekano wa makosa ya kiutawala na upangaji matokeo wakati wa mechi ya robo fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns iliyochezwa tarehe 05 Aprili 2024 kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld mjini Pretoria, Afrika Kusini.

Barua ya Mkurugenzi wa Sheria wa klabu hiyo, Adv. Simon Patrick kwenda CAF imebainisha kuwa malalamiko hayo yanahusu kukataliwa kwa goli la wazi la Yanga Sc lililofungwa mnamo dakika ya 57 na Aziz Ki Stephane na timu nzima ya waamuzi wakiongozwa na Mbwana Dahane Beida kutoka Mauritania.

“Licha ya kuwepo kwa teknolojia ya Video Assistant Referee (VAR), Bw. Beida na timu yake, akiwemo Bw. Daniel Ayi (Video Assistant Referee kutoka Ghana) na Bw. Jerson Dos Santos (Msaidizi wa VAR kutoka Angola), kwa makusudi walizembea kukagua tukio la goli kupitia VAR, na hivyo kupuuza kanuni za uchezaji haki na usawa katika soka.” imesema barua hiyo.

“Tunadai kuwa hatua hizo za timu ya waamuzi zinaonyesha jaribio la kimakusudi la kushawishi matokeo ya mechi kwa upande wa Mamelodi Sundowns, ikiwa ni kesi mbaya ya upangaji matokeo.”

“Hili limeonekana wazi pale ambapo uchaguzi wa maamuzi ya kutumia VAR ulijikita zaidi katika faulo zilizofanywa na Young Africans Sports Club kutafuta uwezekano wa kadi nyekundu huku wakipuuza fursa halali ya kufunga mabao.”

“Inatia wasiwasi kuwa licha ya uwekezaji mkubwa katika teknolojia ya VAR, jukumu lake katika kuhakikisha usawa na usahihi katika maamuzi muhimu ya mechi halikuzingatiwa. Tukio hili linazua maswali kuhusu uadilifu wa viwango vya waamuzi na ufanisi wa VAR katika kuzingatia kanuni za uchezaji wa haki katika mashindano ya soka.”

“Tunaomba uchunguzi wa kina kuhusu suala hili kufanywa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ili kubaini ushahidi wowote wa makosa ya kiutawala au upangaji matokeo. Vitendo kama hivyo vinaharibu ari ya mchezo na lazima vishughulikiwe mara moja ili kudumisha uaminifu wa mashindano ya kandanda chini ya CAF.”
 
Hakuna kitu hapa duniani sikipendi kama uonevu/upindishwaji wa haki kwa makusudi.

Kilichotokea jana ni kitendo cha hovyo sana kufanywa na waamuzi wa mpira wa miguu, tena kwa makisudi kabisa.
 
Wanajitafutia fedheha ya bure tu lile siyo goli kabisa
 
Malalamiko yamejikita zaidi katika HISIA na siyo Strong EVIDENCE ya upangaji Matokeo,naona MALALAMIKO FC A.K.A MWAKAROBO JNR mnaweweseka sana kajipangeni upya hiyo rufaa mnapoteza muda tu hamna kitu
 
Wambieni CAF sio NEC
 
Back
Top Bottom