Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 18,520
- 44,905
Kwa nini?Rubada ilipaswa kufutwa siku nyingi
Kwa nini?Rubada ilipaswa kufutwa siku nyingi
Ni ujinga na haiwezekani kusikiliza watu 60+ millions, Magufuli hawakumkuball, kaja Mama Samia kabadili staili ya Magufuli bado wanamnanga, huwezi kuridhisha binadamu, Mungu kaumba kope watu wanamkosoa na kuweka bandia, makalio, nywele, kucha na kadhalika, je wewe sio Mungu utawaridhisha?Eti wanadai hawakusikilizwa maoni yao!
Unadhani hilo dogo? Inclusiveness ndiyo direction ya dunia nowadays.Eti wanadai hawakusikilizwa maoni yao!
Sure ndugu yangu, tunamhitaji Magufuli mwingine aisee.Tunataka mtu kama Paul Kagame, hakuna kusikiliza kelele nje bali kufanya yale unayoamini ni ya manufaa kwa nchi basi, hebu fikiria Hayati Magufuli angesikiliza kelele za kupinga huo mradi kwa mgao uliokuwa umeanza tungewasha nini?. Germany bila Hitler isingefika pale, Urusi bila Stalin, North Korea bila Kim Il Sung, China bila Mao Zedong nk
Utamsikiza nani na nani umuche, sio kwamba hawakutaka maoni yao yasikilizwe ila maslahi yao hawakuyafikia ndio maana.Eti wanadai hawakusikilizwa maoni yao!
Achana na mafala haoKuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Tunaweza hata kuwaita hivyo aisee!Achana na mafala hao
Wengi wa wapondaji ni hawa vijana wala bhangi na madawa ya kulevya,Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Nakazia brother.Pumbavu zao sana hao
Ni kweli kabisa.Bwawa la Nyerere ni investment of generations
Point zile zile bado ni changamoto;Kuna project inaitwa RUBADA (Rufiji Basin Development Authority) ilianzishwa 1975 na Nyerere ililenga uanzishwaji wa;
●HEP (Hydro Electric Power)
●Kilimo
●Forestry
●Industrial developmemt
●Tourism
●Navigation
Ila points zikawa zilezile
●Lack of enough capital
●Lack of qualified personnel
●Low level of sci & tech
Kilichofanyika so far ni HEP ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHHP) angalau likaitwa kwa jina lake kumuenzi Mwalimu kwa maono yake
Lengo la Nyerere lilikuwa kufanya projects kama ile ya Tennessee River Valley Authority (TVA) ya Marekani au The Three Gorges Dam Poject on Yangtze River ya China
Unaweza kufanya analysis nzuri Sana kama hiyo, lakin kule serikalin kuna mabumunda mengi sana, yatokanayo na wastaafu. Hawana uwezo huo wa, kufikiri viatu vya, maana kama hivyo badala waibe pesa.Watanzania huwa tunatazama mabaya tu ya kila jambo, hatutazami upande unaoweza kutunufaisha kiuchumi.
Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere, mto Rufuji inabidi litufumbue macho.
Its time to think big.
Kuna miradi kadhaa inaweza kuibuliwa.
1. A Major Waterway kusafirisha mazao na binadamu. Mto unaweza kutumika vixuri .
2. Kujenga kingo, Levees, kando ya sehemu zote za mafuriko
3 Bonde lote la Rufiji laweza kutumika kwa kilimo mwaka mzima.
4 Utalii wa majini, kando ya mto na hata mtoni kuna sehemu nzuri sana kwa Utalii. Nimeona hilo pale gate la Mloka kuingia Mbuga ya Selous, na kuna ziwa zuri sana sehemu za Mbunju kama 10km toka Ikwiriri.
Si watu wengi wanajua kuwa katika mdomo(delta) ya mto rufiji, meli ya kivita, SS Koenigsberg(meli ya kivita ya wajerumani, vita Kuu ya Kwanza 1914, hata leo ipo hapo.
Meli hii ni karibia dada yake na mv Liemba ya Kigoma, na ilizamishwa hapo mto Rufiji ili isitekwe na waingereza.
Meli hii ikiibuliwa yaweza kuwa kivutio kikubwa cha utalii.
Wizara husika zaweza kutangaza fursa hizo nzuri, bahati nzuri waziri na mbunge Mchengerwa inabidi suala hili alivalie njuga.
Mkuu pamoja na mapungufu yake, Magufuli aliweza kufanya naamuzi magumu.Unaweza kufanya analysis nzuri Sana kama hiyo, lakin kule serikalin kuna mabumunda mengi sana, yatokanayo na wastaafu. Hawana uwezo huo wa, kufikiri viatu vya, maana kama hivyo badala waibe pesa.
Kweli kabisa, katika matatizo, hasa yanayotokana na naendeleo, fursa zinazojitokeza ni nyingi sana.Watanzania huwa tunatazama mabaya tu ya kila jambo, hatutazami upande unaoweza kutunufaisha kiuchumi.
Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere, mto Rufuji inabidi litufumbue macho.
Its time to think big.
Kuna miradi kadhaa inaweza kuibuliwa.
1. A Major Waterway kusafirisha mazao na binadamu. Mto unaweza kutumika vixuri .
2. Kujenga kingo, Levees, kando ya sehemu zote za mafuriko
3 Bonde lote la Rufiji laweza kutumika kwa kilimo mwaka mzima.
4 Utalii wa majini, kando ya mto na hata mtoni kuna sehemu nzuri sana kwa Utalii. Nimeona hilo pale gate la Mloka kuingia Mbuga ya Selous, na kuna ziwa zuri sana sehemu za Mbunju kama 10km toka Ikwiriri.
Si watu wengi wanajua kuwa katika mdomo(delta) ya mto rufiji, meli ya kivita, SS Koenigsberg ,meli ya kivita ya wajerumani, vita Kuu ya Kwanza 1914, hata leo ipo hapo.
Meli hii ni karibia dada yake na mv Liemba ya Kigoma, na ilizamishwa hapo mto Rufiji ili isitekwe na waingereza.
Meli hii ikiibuliwa yaweza kuwa kivutio kikubwa cha utalii.
Wizara husika zaweza kutangaza fursa hizo nzuri, bahati nzuri waziri na mbunge Mchengerwa inabidi suala hili alivalie njuga.
Plus ujuaji zeroTunataka kubishana kwa kila kitu hata vitu tusivyovijua!! Kitu kiwe na faida au hasara sisi wabongo lazima tubishane tu , ni kama utamaduni wetu for now!
This is the way to go!Kuna project inaitwa RUBADA (Rufiji Basin Development Authority) ilianzishwa 1975 na Nyerere ililenga uanzishwaji wa;
●HEP (Hydro Electric Power)
●Kilimo
●Forestry
●Industrial developmemt
●Tourism
●Navigation
Ila points zikawa zilezile
●Lack of enough capital
●Lack of qualified personnel
●Low level of sci & tech
Kilichofanyika so far ni HEP ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHHP) angalau likaitwa kwa jina lake kumuenzi Mwalimu kwa maono yake
Lengo la Nyerere lilikuwa kufanya projects kama ile ya Tennessee River Valley Authority (TVA) ya Marekani au The Three Gorges Dam Poject on Yangtze River ya China
Ndivyo waafrika na wengineo ndivyo tulivyo.Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Rufiji ni changamoto inayohitaji majaabu ya haraka na kushughulikia fursa zinazojitokeza.Ndivyo waafrika na wengineo ndivyo tulivyo.
Rais SH alisema kelele nyingi zitampoteza njia, mambo mengine atatumia cheo chake ili yaende.