Bwawa la Julius Nyerere mto Rufiji: The Silver Lining!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,384
24,353
Watanzania huwa tunatazama mabaya tu ya kila jambo, hatutazami upande unaoweza kutunufaisha kiuchumi.
Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere, mto Rufuji inabidi litufumbue macho.
Its time to think big.

Kuna miradi kadhaa inaweza kuibuliwa.
1. A Major Waterway kusafirisha mazao na binadamu. Mto unaweza kutumika vixuri .

2. Kujenga kingo, Levees, kando ya sehemu zote za mafuriko

3 Bonde lote la Rufiji laweza kutumika kwa kilimo mwaka mzima.

4 Utalii wa majini, kando ya mto na hata mtoni kuna sehemu nzuri sana kwa Utalii. Nimeona hilo pale gate la Mloka kuingia Mbuga ya Selous, na kuna ziwa zuri sana sehemu za Mbunju kama 10km toka Ikwiriri.
Si watu wengi wanajua kuwa katika mdomo(delta) ya mto rufiji, meli ya kivita, SS Koenigsberg ,meli ya kivita ya wajerumani, vita Kuu ya Kwanza 1914, hata leo ipo hapo.
Meli hii ni karibia dada yake na mv Liemba ya Kigoma, na ilizamishwa hapo mto Rufiji ili isitekwe na waingereza.
Meli hii ikiibuliwa yaweza kuwa kivutio kikubwa cha utalii.

Wizara husika zaweza kutangaza fursa hizo nzuri, bahati nzuri waziri na mbunge Mchengerwa wa Rufiji inabidi suala hili alivalie njuga.
 
Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Vinapondwa kwasasabu hiyo Miradi aliinzisha Magufuli, hakuna lingine zaidi. Yani watu waponda hata vile vilivyo vizuri vilivyoanzishwa na Magufuli kwasasabu tu wanachuki naye.
 
Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Tunataka kubishana kwa kila kitu hata vitu tusivyovijua!! Kitu kiwe na faida au hasara sisi wabongo lazima tubishane tu , ni kama utamaduni wetu for now!
 
Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Kuna watu wamekata tamaa na maisha.
Wao ni kusali, kuswali na kuomba kudra za Mwenyezi Mungu tu!
 
Kuna project inaitwa RUBADA (Rufiji Basin Development Authority) ilianzishwa 1975 na Nyerere ililenga uanzishwaji wa;
●HEP (Hydro Electric Power)
●Kilimo
●Forestry
●Industrial developmemt
●Tourism
●Navigation

Ila changamoto zikawa zilezile
●Lack of enough capital
●Lack of qualified personnel
●Low level of sci & tech

Kilichofanyika so far ni HEP ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHHP) angalau likaitwa kwa jina lake kumuenzi Mwalimu kwa maono yake

Lengo la Nyerere lilikuwa kufanya projects kama ile ya Tennessee River Valley Authority (TVA) ya Marekani au The Three Gorges Dam Poject on Yangtze River ya China
 
Kuna project inaitwa RUBADA (Rufiji Basin Development Authority) ilianzishwa 1975 na Nyerere ililenga uanzishwaji wa;
●HEP (Hydro Electric Power)
●Kilimo
●Forestry
●Industrial developmemt
●Tourism
●Navigation

Ila points zikawa zilezile

Lazima tuwe forward thinkers, pamoja na matatizo tunayoyaona ya mafuriko Rufiji, bado hakijaharibika kitu na fursa nyingine ziko wazi.
 
Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Eti wanadai hawakusikilizwa maoni yao!
 
Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Tunataka mtu kama Paul Kagame, hakuna kusikiliza kelele nje bali kufanya yale unayoamini ni ya manufaa kwa nchi basi, hebu fikiria Hayati Magufuli angesikiliza kelele za kupinga huo mradi kwa mgao uliokuwa umeanza tungewasha nini?. Germany bila Hitler isingefika pale, Urusi bila Stalin, North Korea bila Kim Il Sung, China bila Mao Zedong nk
 
Kuna project inaitwa RUBADA (Rufiji Basin Development Authority) ilianzishwa 1975 na Nyerere ililenga uanzishwaji wa;
●HEP (Hydro Electric Power)
●Kilimo
●Forestry
●Industrial developmemt
●Tourism
●Navigation

Ila points zikawa zilezile
●Lack of enough capital
●Lack of qualified personnel

Kilichofanyika so far ni HEP ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHHP) angalau likaitwa kwa jina lake kumuenzi Mwalimu kwa maono yake

Lengo la Nyerere lilikuwa kufanya projects kama ile ya Tennessee River Valley Authority (TVA) ya Marekani au The Three Gorges Dam Poject on Yangtze River ya China
Rubada ilipaswa kufutwa siku nyingi
 
Back
Top Bottom