chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,400
- 21,292
Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji.
Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na hapakuwa na mkakati wa kimazingira kuidhibiti hali hiyo. Maji yanaingia mitaani kwa wananchi na mashambani.Bwawa limejaa, mto umejaa, bwawa likimwaga maji mtoni, mtu unajaa pomoni mpaka bujee (overflow)
Hii pia iko Morogoro, kila mvua zikinyesha, matuta ya SGR yanarudisha maji kwa wananchi, maji hayana njia ya kupita.