Prof Tibaijuka: Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ila limeshindwa kuregulate mafuriko!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,058
143,823
Waziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko Limeshindwa

Tibaijuka amesema Tudai kujua kwanini na kurekebisha tukitambua Hasara ya kutekeleza miradi mikubwa bila kuzingatia Utaalamu Madhubuti

Mlale Unono 😂😂🔥
 
Regulation itokana na poor design and planning, no kukataka kona hapa prof
 
Waziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko Limeshindwa

Tibaijuka amesema Tudai kujua kwanini na kurekebisha tukitambua Hasara ya kutekeleza miradi mikubwa bila kuzingatia Utaalamu Madhubuti

Mlale Unono 😂😂🔥
Huyu alibeba pesa za escrow kwenye viroba bado ana hasira na msena wake ruge kuhifadhiwa kwenye makabati!
 
Watu wa Environmental Impact Assessment (EIA) vipi hapo? Je mlifanya proactive au reactive planning?...utaalamu kuna wakati unabakwa
 
Bora uyo tibaijuka kaelezea namna flani inaeleweka
Kaeleza nini Tibaijuka? Utaalam gani? Sasa kama bwawa limejaa alitaka maji yasiachiwe ili livunjike awalaumu tena wataalam…. Kwa mvua hizi za sasa sijui hayo maji alitaka waregulate vipi?
Halafu Tibaijuka hajaeleza nini shida na ni wazi hana details zozote ana jadili kama wengine tuu!
 
Watu wa Environmental Impact Assessment (EIA) vipi hapo? Je mlifanya proactive au reactive planning?...utaalamu kuna wakati unabakwa
Kwa hiyo kumbe hamjui kinachoendelea bali mnakusia tuu!😂😂😂😂😂
 
Kaeleza nini Tibaijuka? Utaalam gani? Sasa kama bwawa limejaa alitaka maji yasiachiwe ili livunjike awalaumu tena wataalam…. Kwa mvua hizi za sasa sijui hayo maji alitaka waregulate vipi?
Halafu Tibaijuka hajaeleza nini shida na ni wazi hana details zozote ana jadili kama wengine tuu!
Alichotaka Prof. Tibaijuka ndio kama hiki, tupewe maelezo kama uliyotoa hapa. Tuambiwe bwawa haliwezi zuia ongezeko la maji mvua zikinyesha hivyo utaratibu wa kuyafungulia yasababishe mafuriko Rufiji ni endelevu.

Tuliweke bwawa kwenye rekodi ya bwawa pekee ambalo mvua zikinyesha linasababisha mafuriko, wakati kwa kawaida mabwawa huzuia mafuriko.

Na unasemaje hajaelezea nini shida wakati shida ni mafuriko, atoe details za nini wakati kauliza. Mnaojibu ndio mje na details
 
Back
Top Bottom